Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.
Acheni ujinga mtoto ameonekana na ni copyright na diomond.kaleni ndimu
Acheni ujinga mtoto ameonekana na ni copyright na diomond.kaleni ndimu
wewe nini inakuwasha na life yao, umesoma uliyoyaandika kweli? Mke wa mtu na mume kakaa kimya. Acha wivu wewe, wao ndio wa kwanza mmoja kuwa aliyeacha mume? So akae na mitabia yaajabu eti mume. D and Z ni mke&mume upo???
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani