Mume wa Zari wa zamani adai Latifah ni mwanae

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,648
Reaction score
18,742
IMG_2450.PNG
 
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.
 
sio inadaiwa ni kweli mtoto sio wake yule ule mpira wa kona
 
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi
 
Mbona aliyeposti sio ex-mume wa Zari?

Tunasubiria sheria ianze tarehe 1.
 
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi

wewe nini inakuwasha na life yao, umesoma uliyoyaandika kweli? Mke wa mtu na mume kakaa kimya. Acha wivu wewe, wao ndio wa kwanza mmoja kuwa aliyeacha mume? So akae na mitabia yaajabu eti mume. D and Z ni mke&mume upo???
 
Kwani Zari Alipewa Talaka Na Mumewe.?!
Kama Jibu Ni Hapana.Basi Definitely Domo Anakesi Ya Kujibu Kwa Kukubali Kuishi Na Mke Wa Mtu Kinyumba.Na Mbaya Zaidi Kudai Hadharani Kua Amempa Ujauzito.
Huyu Domo Ni Mburula Sana.Ni Kama Vile Anatumiaga Masabuli Kufikiri Na Kufanya Maamuzi Yake.

Lakini pamoja na yote hayo uliyosema akiwa ndio mwanamuziki tajiri na maarufu zaidi kwasasa Tanzania
 
wewe nini inakuwasha na life yao, umesoma uliyoyaandika kweli? Mke wa mtu na mume kakaa kimya. Acha wivu wewe, wao ndio wa kwanza mmoja kuwa aliyeacha mume? So akae na mitabia yaajabu eti mume. D and Z ni mke&mume upo???

hiyo ndoa uliwafungisha lini?
Povu la nini sasa? Ukisoma nilichoandika wapi pameonyesha nina wivu? Ukiona unawashwa sana nauza mahindi ya kuchoma kuna magunzi ya kutosha.
 
Naomba a nijibiwe haya
1.zari na huyo jamaa walipeana talaka lini??
2.Kama hawajpena sheria anasemaje kuhusu kutembea na mke wa mtu?
3D ni Islam...je na yeye dini yake anasemaje kuhusu kutembea na mke mtu???
4.Kama zari hakupewa talaka basi technically kisheria mtoto ni wa mume wake coz bado yuko ndoani
 
Zari alipewa talaka looong before kukutana na dai,niliangalia show ya mwisho ya the sporah show aliyofanya na zari kabla hata hajakutana na dai,sema hawana uswahili wanakutana mara kwa mara sababu ya watoto wao nenda you tube kaitafute hyo interview utaipata
 
Ndoa kujimilikisha mke kisheria,watoto watakaozaliwa ni wako ulioa,kama hujaoa basi watoto sio wako yeyote anaweza kudai mtoto ni wake ndo maana mungu anataka tuoe Hii ni sawa shamba lisilo na mpka yeyote anaweza dai lake
 
Mimi huwa najiuliza kitu kimoja. Hivi kijana mzima na akili zako unazaa na mmama mwenye watoto zaidi ya wawili. Je utamuoa? mtaishi kivipi? malezi ya mwanao yatakuwaje? Isitoshe ni mke wa mtu. Nimefikiria hili endapo mtoto ni wa domo. If not filamu itakuwa tamu zaidi

Achana na maisha ya watu, yako yatakushinda.
 
Back
Top Bottom