Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa.

Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo, naona karudi na mazaga kibao, na pilau naisikia ikinukia.

Kweli mambo ya JF ni makubwa mno, hata tu kwa kiumbe huyu kurudi akiwa tilàlila inaonekana kweli mmewajaza mambo mambo mazuri. Shukrani na pongezi kwenu, tukiachana na huyu kiumbe wangu mtata.
KFC hizo, uwe na shukurani
 
Hukusoma kuwa mmeo DeepPond atampa mamaJ hiyo zawadi?
 
Itakua ni popoma tu au dipupondi amekuja na ID mpya alaf badae atasema ni ya Mama J na watu watapiga makofi[emoji706]
Akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom