Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

Unawafundisha nn wanawake winzio je? Wakisalitiwa nao wafanye hivyo.
 
Kwa kuwa mshajenga
Anza kuweka akiba ikufae mbeleni
Mtoto wa kiume mzuri ila ndo upuuzie wa kike?
Huyo mtoto atakuja kumpiga Mr kitu kizito kichwani na wa kike ndo watatoka
Tusicheze na Mungu
 
Kumbe hata nawe kipenzi changu cha roho toka klabu bomba kabisa duniani Chelsea FC "The Blues" umeshtuka [emoji848][emoji4]

Lengo kuu haswa ni "KATAA NDOA" ila "KATAA USHOGA" wanakausha, kizazi cha hovyo sana hiki [emoji35]
 
Hii thread ukiisoma mpaka mwisho utagundua mwandishi ni mmoja na zile nyingine zilizotangulia, lengo hasa sijajua ni kutuliza hasira za mwanamme pindi akifumania au lengo ni kuongeza chuki ya jamii kwa mwanamke.
Lakini hakika yake lengo ni ovu.
'Mi mzuri najiamini...'
'Ni kawaida yangu kuchepuka...'πŸ˜€
 
Kuwa makini dear usije haribu ndoa yako my sawa.
Yalinikuta mm hayo
 
Kwann mwanao usimjenge katika misingi mizuri aweze kujitegemea mwenyewe?? Yani kwamba ni lazima ivoo umjengee? Mfundishe biashara mpe msingi mpe mwongozo mwema apambane
 
Sasa hapo unamkomoa nani? Wewe si ndio unachakatwa au?
 
Yes najua hilo ila kuchepuka hatakuja kujua kwa asilimia 100 kwani najua life style yake.
Ni suala tu la muda. Atakapogundua tu, na ndoa yenu nayo itavunjika mara moja! Na mwisho wa siku mtaishia tu watoto, kwa ubinafsi wenu.
 
Hizi siledi imekuaje?, kwahyo mmekuja kugundua sa hv kuwa jf unaweza kuandika ulikua na michepuko??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…