Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

Threads nyingine ni upumbavu mtupu. Hawa vijana waliobalehe juzi hupenda kuleta story za kufikirika kutokana na ndoto zao nyevu. Huu upuuzi hautakiwi kuwa hapa.
 
Kwanza sababu ya kumwacha X wake ni kuwa alimsaliti. Sasa mtu ambaye alimsaliti, na sasa ameolewa na mtu mwingine anaweka picha zake za nini kama si wendawazimu?!

Kama alimpenda sans mbona hakuolewa naye?!
 
Ungekuwa jirani yangu ningekuchapa makofi kabisa ila basi tu acha nipite kimya!
 
Kwanza sababu ya kumwacha X wake ni kuwa alimsaliti. Sasa mtu ambaye alimsaliti, na sasa ameolewa na mtu mwingine anaweka picha zake za nini kama si wendawazimu?!

Kama alimpenda sans mbona hakuolewa naye?!
Kumbukumbu za Ex hazitakiwi popote, futa kila kitu anza upya bana
 
Huyo mwanaume wako naye hajielewi,mpk sasa uko ndani unafanya nini...?
 
Nawaambia kila siku humu siku hizi mabinti hawana malezi sahihi na hawana akili nzuri yaani kwa akili zangu nikioa mwanamke wa akili za hivi naweza kumnyonga usiku akufwilie mbali!
Hivi unafikia kuolewa wakati bado unampenda ex wako for what?
Unakaa na namba za maex au dada wa ex wako kifuatacho ni kwenda kumtembelea ukifika jamaa anakuja anapiga viwili fasta[emoji2357]
Yaani vijana mnaooa sa hivi fanyeni uchunguzi mjie akili za wanawake zenu kabla ya kuwaoa mtatombewa sana na maex
 
Kuna haja kubwa kwa admin kuanzisha mfumo wa kuhakikisha age za watu wanaoruhusiwa kutuma posts hapa. Utoto unazidi kila kukicha!!!!!
 
siku izi jamii forum imekuwa genge la kesi za mume, mkee[emoji23][emoji23]
 
Kama unajua huja move on kwenye mahusiano ya nyuma acha kukurupuka na penzi jipya. Mwambie na yeye apost picha za ex wake, amuweke na wallpaper kabisa. Hii ndo shida ya kuoa watoto.
 
Hapa hamna ndoa. Uliolewa na huyu wa sasa sababu tu hukua na namna!! Wewe ndio utakua chanzo cha ndoa yako kufa sababu umeolewa na usiyempenda!! Bado unampenda ex wako na bado unachepuka nae...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…