Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Futa kama huna maslahi nazo kama yapo usifute na uyafuate maslahi yako.
 
Mwambie mwamuzi wa huo mgogoro ni talaka tu.
Shwain kabisa
 
Nilitaka nikutukane tusi kubwa sana ila vigezo vimenibana ila jaribu kuwa msaarabu hata kidogo futa izo picha wewe ni mke wa mtu izo picha za x za nini?
 
Back
Top Bottom