Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642

Leo umetiririka Tena bila break ..
 
Zi print mwaya uninginize sebleni zipendezeshe
 
Mume wako yupo sahihi sana. Shukuru Mungu kwa huyo anakuambia kistaarabu ufute hizo pics. Ningekuwa mimi ningekukata na vitasa kabisa, halafu ninge format hiyo HDD kabisa!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo pichani ndiye anayelalamika?Kama sio wat the point kumweka asiyehusika Kwa story za kutunga?
 
Ndomans vijana wanapata nguvu ya kusema kataa ndoa
 
Mimi as your fellow woman nasema hiviiii WEWE SIO MWANAMKE... NI DUDE LILIOLEWA TU HaLIJITAMBUI
 
Pole sana kwa mwanaume mwenzetu kwa kuwa una mapungufu na hauhitaji kuyafanyia kazi.

Cha msingi mwambie tu afanye maamuzi yanayombeba, kwa sababu ataishi hivyo mpaka lini. AKUACHE tu utapata mume mvumilivu ambae utakuwa unamuonesha picha za X wako na picha zake(mume wa sasa) akiwa X wako pia.

Unless utuambie kuwa ulizaa na huyo X wako na mna picha ambazo ni za familia kwa ajili ya kumbukumbu za mwanao au wanao.

Pia lijamaa kama vipi likurundikie picha za ma X wake kwenye simu na pc yake labda uta feel anacho feel.
 
Malaya hata ufanyaje huwa hawezi badilika ataendelea na asili yake ya umalaya.

Wewe ni malaya na unajua hilo sasa why unahangaika kujitetea na kujifanya ni mwaminifu hauna maisha ya hovyo.
 
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Huyo mumeo ni msumbufu na ni mshamba sana.Unatakiwa uzitengenezee fremu kubwa hizo picha za x wako na uzitundike sebuleni mnapoishi.Kwani nini aiseeee!
 
Sasa picha za ex za nini au bado kweli anampenda, kama mmeachana na ukaolewa na mtu mwingine why still keeping Ex's pictures and for what? Wadada na sisi hatujielewi sometimes, eti anacomplain kabisa kwamba anaonewa wivu mmh.

Mwambie afute kila kitu cha Ex na akigoma mkate hata mitama😀
Amesema tuligombana na baadae kupatana labda kama mimi ndio sielewi maana ya kupata🫡
 
Back
Top Bottom