Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Hapo ndoa hakuna.

Mwambie huyo mwamba akupige chini atafute pisi inayojielewa.
 
Nasapoti yule member aliyekuita (nanukuu) ''mpumb*vu'' tena haswaaaa na itakuwa huna akili sasa wewe picha za ex wako za nini? Yaani kufutabpicha tu ndio iwe shida utazani ni picha za mama ako?
unasababisha niunge mkono za wadau waliowahi kutoa nyuzi za kuoa bikra au kuoa darasa la saba.............
 
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Huyo mumeo inabidi akuache. Uolewe na hiyo picha ya x wako. Kumbaf sana
 
Ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kama wewe kujiita mwanamke hii ni laana mpumbavu wewe
 
Sasa picha za ex za nini au bado kweli anampenda, kama mmeachana na ukaolewa na mtu mwingine why still keeping Ex's pictures and for what? Wadada na sisi hatujielewi sometimes, eti anacomplain kabisa kwamba anaonewa wivu mmh.

Mwambie afute kila kitu cha Ex na akigoma mkate hata mitama😀
Japo ni maji tu haya,yanayoashilia uharisia,watu wanaowaza hivi wa nini?
 
Binafsi naona shida wanayo mods wa JF wala siyo members.
Mello angepitisha fagio.
Narudia. Miaka kama 5 iliyopita,JF ilikuwa ya Great Thinkers kweli. Leo hii,imegeuka kuwa kichaka cha wahuni(wazinzi). Mpaka inafikia hatua mapumbavu ya kuwataka wanaume wenzao yanajua hapa ndo penyewe, lifikiliwe. Kuna mada nyingine za kijinga sana.
Vinginevyo mada zilipiwe labda watu watakuwa na adabu
 
Mwanaume mzima unajifanya Mwanamke na kuanzisha mada,

Unachotaka ni nini hasa zaidi ya kuolewa?
 
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Vipi na yeye akiweka picha za michepuko yake ????
 
Sasa picha za ex za nini au bado kweli anampenda, kama mmeachana na ukaolewa na mtu mwingine why still keeping Ex's pictures and for what? Wadada na sisi hatujielewi sometimes, eti anacomplain kabisa kwamba anaonewa wivu mmh.

Mwambie afute kila kitu cha Ex na akigoma mkate hata mitama[emoji3]
Sio amkate kwanza mitama afu ndo amwambie afute huo upupu?

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Watu kama nyie ndomana mnaliwa tope ,si umesikia mwenzako njombe ameliwa kiboga na mume wake? Sasa nawe unafata

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
MUME WANGU ANALAZIMISHA NIFUTE PICHA ZA X WANGU!

Habari Kaka, mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi 6 sasa, sababu ya kuja kwako nikuwa, mume wangu ana wivu sana. Kabla ya kuwa na mume wangu nilikua na mwanaume mwingine, tulikaa kwenye mahusiano kwa miaka 7, lakini tukaja kuachana kwakua alinisaliti tukagombana lakini mwisho tukaja kupatana ila nilishampata huyu mume wangu nayeye alishaoa.

Sasa shida iko hivi, mume wangu ana wivu sana, yaani anawivu mpaka inaboa na mpaka wakati mwingine naona ndoa chungu. Kuna siku nilimpost dada wa huyo X wangu, alikua rafiki yangu na mpaka sasa hivi tuko karibu, mume wangu alikasirika tukagombana mpaka nikafuta. Lakini kuna siku mume wangu kashika PC yangu, akakuta kuna picha nyingi ambazo nilipiga na X wangu.

Kaka sio picha za uchi wala nini ni picha za kawaida, lakini alikasirika na kuniabia nifute. Mimi sikufuta, nilisave sehemu nyingine nikafuta kwenye compuer, sasa juzi kaziona tena kakasirika yaani mpaka anasema kama vipi tuachane anahisi bado nampenda X wangu, yaani ana wivu wa jabu nisaidie Kaka mimi naishije na huyu mwanaume.View attachment 2869642
Huyo mwanamke kwenye picha ni shemeji yangu,hahusiki na hii story.
 
Mwana kaoa mke wa mtu
 
Back
Top Bottom