Mume wangu anaumwa!

khaaa kuna vitu serious na utani hapa JF ,mimi ninamasikhala humu JF mpaka na pewa ban
ila kwenye suala la afya kama sina ujuzi siwezi kuandika chochote hayo ni mambo ya kitaalamu
 

Sio lazima uchangie kila mada......
 
na wewe umechangia mada!!!!

JF kazi tunayo kwa kweli
 
Khe! We ni msaga sumu, nna uhakika ukifa utageuka shetani kwa sababu roho yako mbaya kuliko hata ya ibilisi.
 

aisee are you serious????
 
Kuna baadhi ya wanamme, wakikosa hela tu wanaumwa. Mchunguze utagundua kitu, hospital inampa comfort fulani hivi, nishaona mtu mmoja naye ana tabia hizo hizo.

Hahahahaha, hapa umenena inaeza ikawa kweli.
 
Pole sana ...chambua yenye manufaa hapa...wengine watakupoteza bure.
 
Yy anahs homa kali! Na mwili pia unamuuma sana kila cku tunabadilisha magodoro

Yaani nilikuwa nawaza swala la godoro lakini inawezakana pia ana matatizo ya damu kuwa nyingi au kupungua ni mtazamo wangu tuu katika hili
 

Mkuu,,unamuelekeza Dawa umeshajua anachoumwa?
 

Huyo atakuwa amelogwa tu huyo, we unadhani watu wanafurahi kuona akiwa ana miliki mtoto mzuuri kama wewe.. Something has to be done ooooh, before he go into extinction.
 
Anaumwa usiku akiwa mmelala asubuhi amepona. Jaribu alale chumba cha peke yake kwa siku chache. Asipoumwa jibu ni kuwa wewe una spiritual husband au yeye ana spiritual wife. Maombi makali yahusike. Ikiwa ataendelea kuumwa uwezekano ni stress. May be hana hela, au wewe unapenda kumpa chakula kingi kile cha kikubwa wakati yeye akila kidogo hawezi kuendelea.
 
Msongo wa mawazo
Kuchoka
Mwambie arelax ongea nae akueleze tatizo ni nini ? na pia uwe unamfanyia massage kila akirudi inawezekana zaidi kazi yake inamchosha just mawazo yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…