Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 783
- 321
Poleni sana dada Korino, nikiwahi kupata rafiki yangu alikua na hali hiyo ya kuhisi joto kali sana saa za jioni ama pia usiku na kutokwa na jasho jingi sana, na tulifanya vipimo mbali mbali bila mafanikio.
Tukaja kutana na veterinarian mmoja akatuelekeza pale SUA morogoro wana clinic ya wanyama ndipo akatolewa damu na kumgundulika na ugonjwa wa wanyama uitwao (BRUCELOSIS) inasemekana baadhi ya technicians wa magonjwa ya binadamu hushindwa kutafsiri magonjwa ya wanyama ambayo huweza mpata binadamu (zoonotic diseases) hivyo waweza tibiwa ndivyo sivyo ama ukakosa matibabu kabisa
Sasa kiwa waweza nenda ukawaone pengine wanaweza kukusaidia kwa kuwa yule rafiki yangu yupo sawa kabisa kwa sasa.