Mume wangu anaumwa!

Pole sana dada kwa hali hiyo maombi itakuwa njia sahihi kabisa jaribu hilo mungu anaweza yote.
 
mama pole sana, kuna magonjwa mengine ni kiimani na hayatibiki bila ya imani,hivyo kwa kumuomba Mwenyezi Mungu kwa imani hakika atapona mama yangu kila la heri.
 
anapata homa ucku?.anatoka sana jasho ucku?.mwl unachoka sana?.if yes akachek TB huwa inaonekana sana kwa tabu
 
ni lile jina litiayo nguvu tu nendeni kwake maana si kila mtu anakupenda mjini hapa,omba usiku na mchana mwambieni awasaidie,sisi wengne wote wanafiki ila yeye ana jibu sahihi kwenu
 
Mpo wapi?! Ni Zanzibar?!! Maana kule ishu za afya hasa vipimo si hodari saana kama Bara,

Zaidi ya yote asichoweza mwanadamu Mungu Anaweza jihusishe naye,

Huwa pana majini kwa hali kama hiyo huenda wewe ndio unao hao hivyo humpiga mr wako kwa magonjwa ili akumiliki/wakumiliki wewe

Chukua hatua, hiyo hali inamwisho.
 
Kuna baadhi ya wanamme, wakikosa hela tu wanaumwa. Mchunguze utagundua kitu, hospital inampa comfort fulani hivi, nishaona mtu mmoja naye ana tabia hizo hizo.

nakubaliana na wewe mkuu
 

Insane in your Brain.
 

Ulikuwa huna sababu ya kuandika huu ujinga wako lkn....pia ukumbuke ww binadamu kama huyo anaeomba ushauri leo ipo cku na ww yatakuja yakukute makubwa hata ya huyu uliemshauri maneno ya kejeli haya ni madogo....kuwa na stara
 


Huyo Piga Chini fasta ana magonjwa ya kurithi, atakuaribia Ukoo!
 

Watu wote tungekosa busara hivi basi jamii ingepukutika kwa kukosa faraja. Tumia lugha ya busara, huruma na ushauri usioumiza. Ningekuwa wewe ningemtia moyo wakapime vvu. Huwezi jump into conclusion eti ni ukimwi. Pole sana dada najua hii post hapa imekukwaza na kukuumiza sana.
 
Dada pole sana
Mpeleke kwenye maombi

Mbona ulichoandika hata hakiendani na alivhoandika?.Hivi mtu anaumwa umpeleke kwenye maombi una maana gani!.Aiseee hivi haya mambo yataisha lini?.hivi kuna watu karne hii ya 21 wanaamini kwamba eti ugonjwa unatibiwa kwa maombi?
 
Du!pole sana mwombe mungu atapona

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Du!hum namo kunawatu hawana akili washabakiza akili za kuvalia nguo na kuvuka barabara noma sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…