Mume wangu anaumwa!

Kuna baadhi ya wanamme, wakikosa hela tu wanaumwa. Mchunguze utagundua kitu, hospital inampa comfort fulani hivi, nishaona mtu mmoja naye ana tabia hizo hizo.
Hata mie nikikosa hela huwa naumwa na kila nikikaa peke yangu nikijisahau tu nafyonza/nasonya tu lakini huyu amezidi mpaka anakwenda spitali 7 zote
 

Mkuu wewe ulipona kwa imani sio mashine, hizo mashine sio kitu wala hazinauwezo wa kutoa sumu mwilini.
 
Mkuu wewe ulipona kwa imani sio mashine, hizo mashine sio kitu wala hazinauwezo wa kutoa sumu mwilini.

Alafu hizo mashine za kutolea sumu watu wanapigwa bila kujijua maana unaweka miguu kwenye maji alafu ile mashine inachofanya inatoa povu lililochanganyika na uchafu wa miguuni alafu wanaambiwa kwamba imetoa sumu, hakuna kitu kama hicho cha kutoa sumu mwilini (wanacheza na saikolojia tu ya binadamu na watu wanaingia mkenge, kweli amepona kwa imani huyo)
 
Dar group iko Nyerere rd ,kama unatokea airport ukivuka mataa ya tazara tu iko upande wa kulia , oposite na AZAM TV
 
Pole Sana. kama bado ana tatizo tutafutane.Nitazungumza nae kwa kirefu tu nitapata majibu ya matatizo hayo. nimeonana na wengi wenye matatizo hayo. +255 689 417 472
 
Pamoja na kuwa mmepima ugonjwa hauonekani, yupo ambaye anaweza kuona tatizo la mumeo na si kuona tu hata kutibu. naye ni Mungu tu, muombee wewe fanya maombi ya kufunga hata kama yeye hana imani, imani yako inaweza kumponya mumeo, lakini pia ukiwa unaendelea kufanya hivyo muombe akubali umpeleke kwenye maombi.

Mungu anaweza dada yangu. kuwa mjasiri na kukukataa magonjwa kwa mwezio. kumbuka matatizo kama hayo siyo fungu lako alilokuandalia mwenyezi Mungu. ni vita vya ibilisi tu. fanya maombi dada na kuwashirikisha baadhi ya watu wa MUNGU.

POLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…