Mume wangu hapendi kula nyumbani

Hata mm huwa sipendi kula chakula alichopika mke wangu. Zaman nlikuwa nataman nile alichopika mke wangu, baada ya kuanza mistreatment naona hata vyakula vyake sio vitam so huwa nakula mtaani nikija labda jioni tu naonja kidogo basi, weekend nitatafuta sababu tu niondoke nikale mtaani
 
Sasa hivi kipindi cha joto kama upo jijini darisama vyakula havipandi
 
Achana nae huyo wanakulaga mavitimoto huko vilabuni.
 
Akiufata huu ushauri atapata ufumbuzi wa tatizo lake[emoji817]
 
Unadhani wageni hata chakula kikiwa kibaya watakwambia? Hata mimi kwa kweli chakula kikiwa kibaya ziwezi kula, I'm too selective when it comes to misosi!!!

Jitahidi ujifunze kupika bibie!
 
Sasa ugomvi na mtu ndo ushindwe kula chakula chakee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
..ila wanawake waliokulia mbali na bahari kupika chakula kizuri chenye radha bado ni changamoto!
...... from my own experience.
Hakika, kuna mke wa rafiki angu yaani anapika supu ya kuku haweki limao wala ndimu. Anasema kwao kishumundu hawatumii limao kwenye supu. Unakunywa supu inanuka shombo hadi inachefua.
 
Shida yako Ni unapitiliza chumvi kwenye chakula mpaka mmeo anashindwa kula.
 
Mkuu Hapa umeupiga mwingi Sana
 
ingea nae vizuri atafunguka
 
Wanawake bwana hapo shida inaonekana ilikuwa kwako ulikuwa hupiki kwa wakati akirudi chakula hujapika au unachelewa kupika mwamba akaona ajiongeze ila ww umekuja kushtuka baadae umeshachelewa
 
Miss chuga strikes again

The tales of miss chuga and her knuckle head husband [emoji23][emoji23]
 
Ndio upige sahani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Aise,sipati picha Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilipiga teke aseeh vyombo vyote na nililia then nilipata hasira Sana miye nipike afu usile,why?!!Tena anachokipenda ,mi Sio jeuri Kwa me ila nilichukia mnoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji2960]
 
Hakika, kuna mke wa rafiki angu yaani anapika supu ya kuku haweki limao wala ndimu. Anasema kwao kishumundu hawatumii limao kwenye supu. Unakunywa supu inanuka shombo hadi inachefua.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…