Mume wangu hapendi kula nyumbani

Mume wangu hapendi kula nyumbani

Habari zenu wapendwa?

Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.

Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.

Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Hata mm huwa sipendi kula chakula alichopika mke wangu. Zaman nlikuwa nataman nile alichopika mke wangu, baada ya kuanza mistreatment naona hata vyakula vyake sio vitam so huwa nakula mtaani nikija labda jioni tu naonja kidogo basi, weekend nitatafuta sababu tu niondoke nikale mtaani
 
Sasa hivi kipindi cha joto kama upo jijini darisama vyakula havipandi
 
Achana nae huyo wanakulaga mavitimoto huko vilabuni.
 
Tukiandika tunaonekana walokole. Anyways kama wewe ni Mkristo..Omba. Yani simama kwenye maombi na kumuamini Mungu kweli kweli. Ninachoona hapa unalengwa wewe kuondolewa kwenye nafasi.

Kuna maneno umeyaandika hapa tayari shetani kashakudaka. Katika Mith 6:2 neno linasema "umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako." Shetani anachofanya kakungoja utype.."sometimes ndoa hizi bora uwe single..umeolewa kwa ajili ya heshima tu". Usifikiri ulichotype kimeenda bure. Maana si unaona bora uwe single ok fine, haujakiri anything positive rather comments za humu zinazidi kukuvuruga kihisia na kiufahamu.

Wewe tena....unazidi kuharibu kwa maneno yako mwenyewe. Mungu aliumba dunia kwa neno, neno lako lina uwezo mkubwa wa kujenga ama kuharibu. Ukijiita wewe ni masikini..kweli utakuwa..what do you speak over your life, marriage, children, in laws, relatives??...jifunze kuwa na positive affirmations.

Nakuambia hili kwa sabbu mm ni mhanga. Nilikuwaga naongea negative kila mara katika maisha yangu. Sikuwahi kusogea. Kila ukurasa ulikuwa umefungwa. Nilipoanza kukiri kushinda kila siku mambo yakaanza kubadilika moja baada ya jingine.

Ni muda wa kumconsult Mungu miss. Ni muda wa kwenda kuongea naye what is happening and the changes you want to see happen in your marriage. God is able..I know it for sure. Mume wako ni mdogo sana mbele ya baba yake aliye mbinguni. Kama hilo agano mlilifunga mbele za Mungu, uwe na uhakika ni Mungu huyohuyo anaeweza kuirestore hiyo ndoa. Lakin sasa usiende mbele zake huku unajihesabia haki. Nenda mbele zake huku unatubu kabisa kutoka moyoni. Maana neno linasema wote tumetenda dhambi hata kupungukiwa na utukufu.

Utukufu wa Mungu ukiondoka lazima furaha na amani viondoke. Mimi ni shuhuda wa hii statement. Ilinichukua mwaka kugundua hili. Ask God where did you go wrong? Maana mpaka shetani kuingia hapo kuna mlango ulifunguliwa..na wewe kama mlinzi wa familia hukusimama nafasi yako. Naweza kuandika mengi lakin for consultation zaid am available PM. Ila kama utaona naongea nonsense please usimind..potezea hii comment..achana nayo madam. All the best.
Akiufata huu ushauri atapata ufumbuzi wa tatizo lake[emoji817]
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.

Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.

Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Unadhani wageni hata chakula kikiwa kibaya watakwambia? Hata mimi kwa kweli chakula kikiwa kibaya ziwezi kula, I'm too selective when it comes to misosi!!!

Jitahidi ujifunze kupika bibie!
 
Hata mm huwa sipendi kula chakula alichopika mke wangu. Zaman nlikuwa nataman nile alichopika mke wangu, baada ya kuanza mistreatment naona hata vyakula vyake sio vitam so huwa nakula mtaani nikija labda jioni tu naonja kidogo basi, weekend nitatafuta sababu tu niondoke nikale mtaani
Sasa ugomvi na mtu ndo ushindwe kula chakula chakee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
..ila wanawake waliokulia mbali na bahari kupika chakula kizuri chenye radha bado ni changamoto!
...... from my own experience.
Hakika, kuna mke wa rafiki angu yaani anapika supu ya kuku haweki limao wala ndimu. Anasema kwao kishumundu hawatumii limao kwenye supu. Unakunywa supu inanuka shombo hadi inachefua.
 
Shida yako Ni unapitiliza chumvi kwenye chakula mpaka mmeo anashindwa kula.
 
1. Kuwa mpole usipanic maana utaharibu mambo na utayafanya kuwa mazito zaidi,
2. Mpe muda uone kama hali itaendelea hivi
3. Zungumza nae suala la kula nje kuwa hupendi hiyo tabia kama ni muelewa atahisi kile unachojihisi moyoni ila kama ana nyendo zake hutaona mabadiliko yoyote yale.
4. Asipobadilika basi komaa na maisha yako kula vizuri,lala vizuri lea wanao vizuri tena usijipe presha mind your own business Yaani usimfuatilie kwa chochote kile ila hakikisha tu unafanya sehemu yako kama mke kama ni chakula pika kama kawaida acha mezani akija mfungulie mlango mpokee vizuri mkaribishe mezani akitaka kula shukuru Mungu asipotaka kula shukuru Mungu zaidi maana kakupunguzia mzigo wa vyombo kisha nenda chumbani mvue nguo akaoge akitaka kulala shukuru Mungu akigoma shukuru Mungu zaidi maana kakupunguzia harufu ya mijasho ya usiku kucha
Mkuu Hapa umeupiga mwingi Sana
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.

Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.

Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
ingea nae vizuri atafunguka
 
Wanawake bwana hapo shida inaonekana ilikuwa kwako ulikuwa hupiki kwa wakati akirudi chakula hujapika au unachelewa kupika mwamba akaona ajiongeze ila ww umekuja kushtuka baadae umeshachelewa
 
Habari zenu wapendwa?

Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali kabisa ukimuliza hana sababu.

Mwanzo nilijua labda napika vibaya lakini siyo maana watu wengine wakila hata wageni wanakifurahia sana chakula mpaka wananisifia najua kupika Ila mme wangu ndo tatizo anaweza akala hata vijiko 5 akasema ameshiba.

Hii hali kwakweli inaniumiza sana akili na uzuri ana mwili nahisi labda atakuwa anakula uko nje akija anakuwa labda ameshiba maana kwa jinsi anavyokula hapa ndani alitakiwa awe hana hata afya yani kwa kifupi ni kama tu hali Ila anagusagusa, kuna wakati hadi nawaza sijui kalogwa.
Miss chuga strikes again

The tales of miss chuga and her knuckle head husband [emoji23][emoji23]
 
Ndio upige sahani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Aise,sipati picha Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilipiga teke aseeh vyombo vyote na nililia then nilipata hasira Sana miye nipike afu usile,why?!!Tena anachokipenda ,mi Sio jeuri Kwa me ila nilichukia mnoo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji2960]
 
Hakika, kuna mke wa rafiki angu yaani anapika supu ya kuku haweki limao wala ndimu. Anasema kwao kishumundu hawatumii limao kwenye supu. Unakunywa supu inanuka shombo hadi inachefua.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom