Mume wangu hapendi kula nyumbani

Mume wangu hapendi kula nyumbani

Narudia tena mwanamke hakuchoshi akiwa anaishi kwa baba yake tu.
Jamaa kashakuchoka
 
Usahihi ni Mmakua na siyo Mmakuwa.

Hao ni jamii ya wanaume wa Mwambao wa Bahari ya Hindi.

Mkoa wa Lindi una Pwani nzuri sema tu Ndiyo hivyo, wako na kina kirefu kizuri!

Atakuwa anajua kula vizuri huyo aisee, ukimpikia tuliza kichwa chako acha kushika simu iweke chumbani njoo jikoni upike hadi umalize [emoji108]

Kama Kweli uko serious na Hilo.
 
Wanaume wengine tangu wako kwao wazazi na walezi wao wanajua kupika vizuri radha asili , anapokuja kuoa anatarajia mke apike viwango vile au kuzidi lakini inapokuwa kinyume anakuwa disappointed much!
 
Itakuwa wako umemkanyaga bina.
Mwanaume yeyote hawezi kuvumilia kufanyiwa hivyo[emoji1787][emoji1787]
Utatuponza wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana dear[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kawaida tu kwanini asuse wakati mi nimepika!
 
Oh...ndo maana pole Sana dear
Mmakua na mchaga wapi na wapi
Kule kwetu hawataki kabisa wazazi watoto wao waoe kaskazini Lau ungejua Toka mwanzo usingeingia hicho kiatu ,Kwa Sasa focus kwenye mambo Yako tu ya msingi huyo najua unampenda ila mpe space kidogo
 
Unahangaika mwenyewe kupika vinono afu akienda nyumba ndogo wanaenda kula migahawani kisa bibie hapendi kupika au kabandika kucha ndefu ana hofu zisije zikakatika [emoji3525]

Acha kuhangaisha nafsi yako, enjoy life
 
Dear pitia thread zake kwanza kuhusu uchumba mpk ndoa
Nimepita kwenye kila thread. Inshort kuna msingi ambao ulishaharibika tangia mwanzo. Nweiz ushaur wangu unabaki palepale. Huyo kuna vifungo vya kwao. Asiposimama kuomba na kila mara akija kuandika humu ataula wa chuya. Bila kusali atakua anatwanga maji kwenye kinu.

Kumcorner mwanaume vizuri sio kwa kumfatilia. Ni kwa kuomba, macho yatiririke machozi haswa. Kuna miaka ya kuwa prayer machine...actually all years. Maana ukimaliza kuombea mume akakaa sawa, utaanza kuombea mtoto ama watoto.

Hakuna namna tusali tu..maana sina ushauri mwngne. Mi mwenyewe natumiaga akili zangu sana kwenye kutatua shida ama matatizo..lakini nikishakwama mwenyewe najileta kwa baba yangu wa mbinguni kwa toba na kujifanya mjuaji, kujaribu kutatua matatizo yangu mwenyewe.

Am not a pro..nope..but am telling you the atleast easy way out. Kupambana na mtu aliyeumbwa na Mungu afu ibilisi anamuhangaisha sio rahisi. Maana hapo kuna roho ya uzinzi inampelekesha. Marehemu bibi yangu mzaa mama alikua mmakua..miss chuga nifate pm nikwambie character zake na za hilo kabila maana si hekima kuandika hapa. Sina any solution bali kusali! kusali! kusali!
 
Ni chakula Cha mezani tu au na kile kinacho run dunia? Then,jitafakari mlikotoka mlikuaje na nini kimebadilika.........kama inawezekana tafuta siku hata kama ni weekend mtoke pamoja Kuna abcd utapata
 
Nimepita kwenye kila thread. Inshort kuna msingi ambao ulishaharibika tangia mwanzo. Nweiz ushaur wangu unabaki palepale. Huyo kuna vifungo vya kwao. Asiposimama kuomba na kila mara akija kuandika humu ataula wa chuya. Bila kusali atakua anatwanga maji kwenye kinu.

Kumcorner mwanaume vizuri sio kwa kumfatilia. Ni kwa kuomba, macho yatiririke machozi haswa. Kuna miaka ya kuwa prayer machine...actually all years. Maana ukimaliza kuombea mume akakaa sawa, utaanza kuombea mtoto ama watoto.

Hakuna namna tusali tu..maana sina ushauri mwngne. Mi mwenyewe natumiaga akili zangu sana kwenye kutatua shida ama matatizo..lakini nikishakwama mwenyewe najileta kwa baba yangu wa mbinguni kwa toba na kujifanya mjuaji, kujaribu kutatua matatizo yangu mwenyewe.

Am not a pro..nope..but am telling you the atleast easy way out. Kupambana na mtu aliyeumbwa na Mungu afu ibilisi anamuhangaisha sio rahisi. Maana hapo kuna roho ya uzinzi inampelekesha. Marehemu bibi yangu mzaa mama alikua mmakua..miss chuga nifate pm nikwambie character zake na za hilo kabila maana si hekima kuandika hapa. Sina any solution bali kusali! kusali! kusali!
Akusome hapa itamsaidia
 
Andika hapa tabia zao tuzijue bila kujali hadi wala chanya.

Mbona za makabila mengine huwa zinaandikwa na kujadiliwa humu?

Mwaga Mchele huo
 
ANAKUNYWA POMBE?
achana na wali nyama
sijui kabeji na dagaa
 
Back
Top Bottom