HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 381
- 557
- Thread starter
-
- #21
Kuhusu kubaniwa hapana anapewa mda wote anaotakaau unambania haki yake ya ndoa? maana wanaume hasa wasio wagomvi na malaya, wife akikubania huwa tuna visirani sana. Kama unambania acha, jiachie ale ashibe utanifuata inbox kunishukuru.
mkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,Asante kwa ushauri,
naweza kuwapa benefit of doubt katika kugegedana, mdogo wangu amefata nyayo zangu na ananijua vizuri tu na kiukweli uhuni hana.
Mume wangu kusema anatembea nae naweza kumtetea kwa sasa, mimi ni mtu mfatiliaji sana wa hisia so kama kuna mahusiano kati yao ntakuwa wa kwanza kujua ila kwasasa ntakua natenda dhambi kumuhukumu mume wangu siku akinipa
Hiyo sababu ntajua tu.
Sababu ambayo nahisi ni kwamba mume wangu hajawahi kuishi na familia kubwa yenye ndugu mchanganyiko kama mimi nilivyokua wazazi wetu maisha yao yoye wamekua wakiishi na ndugu zao so nilijifunza huko kuwa kila mtu ni mwanadamu mwenye uwezo wa kukosea.
Kilichonileta natamani mume wangu awe na amani na mdogo wangu naumia kuwa katika position ya kumfukuza mdogo wangu wakati mimi ndo nilishadadia aje hapa ili awe karibu na chuo. Leo namwambiaje nenda nyumbani? Ni mbali sana kutokea nyumbani kwenda chuoni kwao. So kwa hapa kwangu anarahisisha.
mchukue uende naye mahali muulize kwa upole. Haiwezekani kama alikukuta na mdogo wako abadilike ghafla pasipo sababu, na usiache kuomba sana kuhusu hili. Shetani yuko kazini kila wakati. mapepo hayapendi kuona taasisi ya ndoa ikiwa katika amaniKuhusu kubaniwa hapana anapewa mda wote anaotaka
Huyo ni mbinafsi aliyepitiliza,
Ukishamjua mtu hakusumbui Tena,
Anza kutomchukulia serious kweye hayo mambo yake ya uselfish, mpuuze na usiruhusu moyo wako uumie simply umeshamjua, act matured and normal anapokupa changamoto kama hii.
Akiona haujali atabadilika mwenyewe na kuacha ubinafsi japo itachukua muda ila matunda utayaona.
Aisee nashukuru sana kwa huu ushauri. Kweli naona dawa ni kuomba. Haiwezekani hii ikawa kasoro moja tu inayomfanya nimuone mume wangu tofauti. Ni mtu mwenye upendo sana kwa hili ntalitolea sadakamchukue uende naye mahali muulize kwa upole. Haiwezekani kama alikukuta na mdogo wako abadilike ghafla pasipo sababu, na usiache kuomba sana kuhusu hili. Shetani yuko kazini kila wakati. mapepo hayapendi kuona taasisi ya ndoa ikiwa katika amani
Kugegeda shemeji kunataka nafasi,,Vipi kuhusu hao ndugu wengine wanaokuja hapo kusalimia na anawatosa? Mimi siamini kwamba binti kamkataa, hapo issue ni gubu la mwamba, hataki ndugu wa mke waishi hapo.
mkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,
mume wako analeta vitimbwi ili mdogo wako asepe sababu anaamini ipo siku atakueleza so anafanya juu chini asepe.
A window of opportunity ya dakika 2 inatosha mwanaume kutongoza na hata kugegeda kimoja cha chapu
USIJIAMINISHE SANA KUWA MUMEO HAJAOMBA TUNDA
hili nalo ni sahihimkuu nakuambia hivi " jambo usilokijua ni kama usiku wa giza" hapo mume wako anaomba mbususu ya mdogo wako ila mdogo wako anazingua, na anaogopa kukuambia,
mume wako analeta vitimbwi ili mdogo wako asepe sababu anaamini ipo siku atakueleza so anafanya juu chini asepe.
A window of opportunity ya dakika 2 inatosha mwanaume kutongoza na hata kugegeda kimoja cha chapu
USIJIAMINISHE SANA KUWA MUMEO HAJAOMBA TUNDA
Mdogo wako ana shepu???Kwa mwanaume ni kweli huwezi kumlia yamini. Hata siku ikitokea ntaomba Mungu anipe busara tu ya kulikabili.
1. Kwa kutowapenda ndugu zake hapa sina ndugu wa mume anaekaa naona ndo tatizo pia maana mume angejifunza kwangu na ndo inbi kangu aje hata mmoja akae wiki tatu tu nimuonesehe mume kwa vitendo jinsi ndugu wanavyokaa.Kuna observation kadhaa nazihisi;
✓Kuna uwezekano kwewako
mahusiano yenu ya Kukaa pamoja umewahi kumtesea ndugu zake/ umewahi kutowapenda walipokuja kuwatembelea.
✓Mumeo amemtongoza huyo mdogo wako ila amekataliwa kwahiyo anamfanyia visa ili ukubaliane naye kumrudisha kwenu
✓Maisha yamekuwa magumu, hivyo anadhani familia imemlemea kwahiyo anatafuta namna ipungue kwa kumwondoa huyo mdogo wako
✓Huenda ndiyo alivyo, Kuna watu wamezaliwa na hali ya uchoyo. Huenda Mume wako ni Mmoja wapo
Huyo jamaa yako roho ya ubinafsi ndio inamsumbua tu😂😂😂Yani ndugu yangu acha tu. Kuna tuvisa tudogo dogo hadi unaona aibu hata mtu wa nje akiskia. Anaweza tu akaamka akaanza kusema hivi kule ana mashuka mangapi kayachukue si ulimuazima siku moja tu. Nyie nachanganyikiwa naona kama hii roho inamuandama. Akili iliyonijia hapa ni kupiga maombi. Naona aibu kwakweli. Sio kawaida
Wa kusalimia akija hamalizi masaa mawili wala matatu wanarudi nyumbani. Atawafurahia yaani hata ndugu zangu wanampenda sana tena sana na nimewaruhusu wanione mimi mkali kuliko yeye ili wampende zaidi. Sasa akiendelea hivi watakuja kujua ukweli na staki mume wangu aonekane mbaya sijui nifanyejeVipi kuhusu hao ndugu wengine wanaokuja hapo kusalimia na anawatosa? Mimi siamini kwamba binti kamkataa, hapo issue ni gubu la mwamba, hataki ndugu wa mke waishi hapo.
dada anajiamini eti mume wake hawez omba Tunda[emoji23][emoji23].hili nalo ni sahihi
Lakini pia mkalishe mdogo wako uzungumze naye kwa upole na awe huru asikufiche chochote. Inawezekana kuna jambo hulijui lipo kati ya mumeo na mdogo wako.Aisee nashukuru sana kwa huu ushauri. Kweli naona dawa ni kuomba. Haiwezekani hii ikawa kasoro moja tu inayomfanya nimuone mume wangu tofauti. Ni mtu mwenye upendo sana kwa hili ntalitolea sadaka