Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Anti Psycho amerudi
Tumsamehe
 
Bila kufanya dhihaka, hali hii inaweza kumpata Mtu yeyote nashauri aende hospitali akishindwa kabisa ajaribu upande wa pili( mambo ya kiroho)....hii inaweza kuwa vita ya kutenganisha ndoa yao....wapambane watatoboa....
Kote ameenda
Kiroho ndio wamemfungia ndoa na ndio majibu wamempea
Hospital wameenda imeshindikana
Wasimamizi wa ndoa wameshindwa
Mchungaji kakataa kuvunja ndoa
Unataka afanyaje mtoto WA watu
 
Du umeandika kweli kweli
 
Kote ameenda
Kiroho ndio wamemfungia ndoa na ndio majibu wamempea
Hospital wameenda imeshindikana
Wasimamizi wa ndoa wameshindwa
Mchungaji kakataa kuvunja ndoa
Unataka afanyaje mtoto WA watu
Maisha ya Mtu yako mikononi mwake mwenyewe, aendelee na maisha yake mengine, serikali Iko nyuma yake kama kanisa haliwezi kumsaidia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…