Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Kwani bado hujaizoea jf kipenzi πŸ€”πŸ€”
Makaka poa niliowatibua ndevu juzi sidhan kama ntaweza kuzizoea hasira zao🀣🀣.
Inaonyesha watakua wanaitana kunisema kimafumbo kila watakapoona pua yangu na siwez kuzoea hostile environment
 
yeah ni kweli,, ukiwaskiliza wanaJf mbona utashindwa kula maana akili zao zenyewe kama za jirani yangu hapa...hatueleweki tuko upande gani[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] Humu unapewa gender sio yako na huwezi kuwaaminisha wakakuamini! Mimi nawaacha waamini wanavyopenda wewe
 
Makaka poa niliowatibua ndevu juzi sidhan kama ntaweza kuzizoea hasira zao🀣🀣.
Inaonyesha watakua wanaitana kunisema kimafumbo kila watakapoona pua yangu na siwez kuzoea hostile environment
ni upepo tu my wiii,,wataacha wenyewe take it easy mamyπŸ€—
 
Siungi mkono.
SorryπŸ™
 
ni upepo tu my wiii,,wataacha wenyewe take it easy mamyπŸ€—
Hautapita mana hivi wanavyonishambulia ndo kama wamenitia ndimu kiwasema mana nimefurahi kujua kumbe dawa inawaingia ndo mana.nashambuliwa.Kwa.hiyo.viya vita yangu na makaka.poa aka matapeli ndo kwanza imeanza.Wajinga wakubwa 🀣
 
kama unahis utaweza kuwanyamazisha wote just go on my wiii,,,, niko hapa kukusapoti my wiiπŸ˜ŠπŸ€—..ila kua makini usije kufa kwa pressure tunataka ndoa sisi oooh 🀨
 
Tushuke jirani, yule dada aliyekuwa anampa namba yule mbaba mwenye mfuko wa ndizi umemuona [emoji23][emoji23]
hata kunistua jirani jamani πŸ™„πŸ™„, twende kwanza tutaongea mda wa kurudi πŸ™‰
 
Kimsingi umeandika jambo reefu kisha hapo katikati linaboa.

Hit the point kwa ufupi tukushauri.

Labda aim yako ni kiwa tufahamu kuwa umepata mchumba singo father
 
Usiku mwema.
Makaka poa hamnitishi.
Nawaachia uzi.
Mida yakujibebisha kwa mlokole wangu huu.
Naomba kesho nikute mmeacha matusi na shombo za kutosha humu🀣🀣Ila mjitahidi kidogo kwa leo matusi yenu yamekua hafifu sana🀣🀣.
Kama vipi kodisheni majeshi yawasaidie nyie mnanidekeza sana🀣🀣

Tukaneni,ongeeni kwa mafumbo nikikaa hapa kujibizana na nyie nitaachika bure.
 
Huyo ndio mwanaume halisi haijalishi ulokole,unalea watoto wako kisengesenge eti huwachapi hakuna baba mwenye utimamu atavungia upumbavu,ndio maana biblia inasema matoto mapumbavu yanakuaga mzigo wa mama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…