Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

Status
Not open for further replies.
Makaka poa na ID zao za kike.naona mmejazana huku kulipiza kisasi🤣.
 
Umefanya stori luwa ndeefu, hakukuwa na haja ya kuelezea alikupa hela ya shopping, kisha ukaongezea pesa yakp ukawatoa watoto, Hakuna muunganiko.
Ungeanzia hapo kwenye katuni..

Anyway, jamaa ni katili, ni juu yako kuchagua kuusikiliza moyo ama akili yako.
 
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom