Mume wangu, nimechoka kukusubiri

Age nzuri kwa maisha kabisa.

Vipi zile ndoa za chuoni hukubahatika hata kubaki na mmoja?
Au ulijituliza?
 
Mm mumeo nashughulikia swala la mgogoro wa ghuba huku mashariki ya kati nikimaliza nakuja baby
 
Endelea tu na mabaharia,maana wanaume kwa sasa tumekubaliana kubaki njia kuu
 
Once in your life ulipokuwa katika "umri sahihi" at 22-24, je hakuwahi kutokea mwanaume muoaji na wewe ukamletea nyenyenye?

Sasa unakuja kustuka 27 hii hapa na hakuna mwanaume wa kujicommit na wewe
 
Hiki kiwanja hakina mgogoro?? (Single mother)
 
Mmmh....ndiyo lile bandiko la nyerere. kweli wadada mkifikisha age hiyo ndoa mnaitafuta kwa nguvu sana. First, are you single mother or?
 
Sijui kuhusu mambo yako mengine ila uandishi wako umeonyesha mambo mawili
1. Ulikwenda shule ukajifunza kusoma na kuandika kwa umakini- hakuna kosa la kisarufi wala kifasihi.
2. You are charming - namna ulivyoandika huonyeshi kukata tamaa wala kulaumu. Umewasilisha jambo lako kwa matumaini makubwa.

Wewe utakuwa mwanamke mzuri tu. Najipa masaa 24 kabla sijafanya maamuzi ya kuja PM.
All the best darling.
 
[emoji1787][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Utukufu kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…