Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Testing inaruhusiwa???baada ya kuchoka usingle mother....Nimeona is not funny....Nahitaji mume jaman.....
08/09...Natimiza 29..Kimo f 5.5....Primary teacher...Mtoto mmoja....am blackbeauty......Mcheshi na vurugu nyinginyingi....Ha ha haaa.
Ninayemwitaji....Awe mwajiriwa...Aliyejiajiri au mfanyabiashara na mwenye uhitaji wa kuoa kweli.Umri...29...40.azidi f5.5....Anyngoz.......Akiwa anaishi...Mbeya,Iringa,morogoro...Dsm....Itakuwa kheri coz huko nauli naziwezea kipind hki cha magu.
Nina mtoto....So ukipenda ua na boga lake mpendwa.
Jibu swali,Haupo Serious ase.hapo nimekosa jibu mkuu
Kwenye mtoto sio tabu kwangu ,ila we mbilikimo nittaharibu kizazi changubaada ya kuchoka usingle mother....Nimeona is not funny....Nahitaji mume jaman.....