Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Inawezekana hakuna anayemtongoza directly ila akiamua kuwa leo nataka nichepuke hakosekani wa kuchepuka nayeWsamia mtoto wa mzee hasani ametongozwa na nan lete ushaid hapa uende jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hakuna anayemtongoza directly ila akiamua kuwa leo nataka nichepuke hakosekani wa kuchepuka nayeWsamia mtoto wa mzee hasani ametongozwa na nan lete ushaid hapa uende jela
mke kushindana na mume.....ataumia mke
Sawa sawa future husbandHakika raha ya ndoa mjuane vizuri na mwendane mtainjoi
Raha under your own expenses amd at your own risks! What a nonsense!?Raha ya msaliti ni kumfanyia tukio lilelile hiyo ondio furaha yetu Watibeli.
Jino kwa jino
Jicho kwa jicho
Ukucha kwa ukucha.
Hatujiumizi tunapolipa watu tuliowaamini alafu wakatufanyia ushenzi
Jamaa kuna wakati anatumba sanaSasa kama unamtegemea kwa kila kitu utaanzaje kumchiti wakati anakuweka mjini? Ukimchiti anakufukuza urudi kwenu, ila yeye anafanya chiting'i apendavyo
Raha under your own expenses amd at your own risks! What a nonsense!?
Nakubali my wife mtarajiwaSawa sawa future husband
Mwanamke yoyote yule anayeshindana Kuchiti na Mwanaume hana Akili ( yaani ni Mpumbavu wa Kutukuka ) wa Kiwango cha Kimataifa aliyethibitishwa.MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.
Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.
Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.
Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.
Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.
Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.
Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.
Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.
Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.
Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.
Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.
Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.
Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.
Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.
Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.
Acha Baba yenu nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Tycoon siku hizi mada zako sizielewi. Umeacha kutumia jani zuri umeanza kutumia kitoko?
Ni kawaida ukiwa na maneno mengi kuna siku utafunua uchi wakoTycoon siku hizi mada zako sizielewi. Umeacha kutumia jani zuri umeanza kutumia kitoko?
Mwanamke yoyote yule anayeshindana Kuchiti na Mwanaume hana Akili ( yaani ni Mpumbavu ) mkubwa wa Kiwango cha Kimataifa aliyethibitishwa.
Mwanaume ha-cheat anatimiza wajibu wake wa asili, kiasili mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume hizi imani za kuletewa zinzokutaka kuoa mke mmoja zisikupumbaze ila mwanamke ku-cheat huo ni umalaya na haikubaliki, mwanaume ukigundua mkeo malaya tandika makofi fukuza ndani ya nyumbaMUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.
Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.
Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.
Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.
Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.
Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.
Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.
Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.
Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.
Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.
Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.
Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.
Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.
Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.
Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.
Acha Baba yenu nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kuna kitu unakitafuta sema nini mwamba?Hivyo ndivyo porojo zetu Wanaume tunazowaambia wanawake.
Ila kwa binti za Tibeli moto lazima uwake lazima hapo mwanamke ataitwa shetani kwani hiyo mwanaume atafurahia shoo.
Uki-cheat unajisikia raha. Mkeo aki-cheat unasema ati yeye ni Mpumbavu 😂😂
Doesnt go around like that man. We live experience may be that is y we dont talk or write too much.. tatizo ni kwamba vijana mkoo too theoretical..Ndio hivyo sasa. Uki-cheat basi elewa mkeo naye anatakiwa akamuliwe
Kuna kitu unakitafuta sema nini mwamba?
Wanasema kwa akili sana
Tibeli, Waambie bintizo haipendezi mwanamke kuchunguliwa chunguliwa down there na watu tofauti tofauti. Uanawake unaendana na usafi.
Tunatamani iwe tit for tat, ila haina thamani kwetu sisi wanawake . Ila kama mtu hawezi
Kusamehe ni vizuri akalipa kisasi 😂🤭
Na Mimi ukinichiti tu na nikijua Adhabu nitakayokupa ni kukuambia uchague nikufanyie kati ya yafuatayo na ukikataa nakuambia ubebe Virago vyako uondoke kabla sijakuchukulia Maamuzi mengine ya Kimedani na Kishalubela ( Kikatili )Hivyo ndivyo porojo zetu Wanaume tunazowaambia wanawake.
Ila kwa binti za Tibeli moto lazima uwake lazima hapo mwanamke ataitwa shetani kwani hiyo mwanaume atafurahia shoo.
Uki-cheat unajisikia raha. Mkeo aki-cheat unasema ati yeye ni Mpumbavu 😂😂
Nitamuomba babu yetu aridhie tujenge sanamu lako juu ya geti letu ...sawa eeeTibeli, Waambie bintizo haipendezi mwanamke kuchunguliwa chunguliwa down there na watu tofauti tofauti. Uanawake unaendana na usafi.