Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

Mumeo akiku-cheat na wewe m-cheat

MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.

Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.

Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.

Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.

Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.

Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.

Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.

Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.

Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.

Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.

Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.

Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.

Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.

Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.

Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.

Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.

Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.

Acha Baba yenu nipumzike.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mwanamke yoyote yule anayeshindana Kuchiti na Mwanaume hana Akili ( yaani ni Mpumbavu wa Kutukuka ) wa Kiwango cha Kimataifa aliyethibitishwa.
 
Mwanamke yoyote yule anayeshindana Kuchiti na Mwanaume hana Akili ( yaani ni Mpumbavu ) mkubwa wa Kiwango cha Kimataifa aliyethibitishwa.

Hivyo ndivyo porojo zetu Wanaume tunazowaambia wanawake.
Ila kwa binti za Tibeli moto lazima uwake lazima hapo mwanamke ataitwa shetani kwani hiyo mwanaume atafurahia shoo.

Uki-cheat unajisikia raha. Mkeo aki-cheat unasema ati yeye ni Mpumbavu 😂😂
 
Mwanaume ha-cheat anatimiza wajibu wake wa asili, kiasili mwanamke mmoja hawezi kumtosheleza mwanaume hizi imani za kuletewa zinzokutaka kuoa mke mmoja zisikupumbaze ila mwanamke ku-cheat huo ni umalaya na haikubaliki, mwanaume ukigundua mkeo malaya tandika makofi fukuza ndani ya nyumba
 
Hivyo ndivyo porojo zetu Wanaume tunazowaambia wanawake.
Ila kwa binti za Tibeli moto lazima uwake lazima hapo mwanamke ataitwa shetani kwani hiyo mwanaume atafurahia shoo.

Uki-cheat unajisikia raha. Mkeo aki-cheat unasema ati yeye ni Mpumbavu 😂😂
Kuna kitu unakitafuta sema nini mwamba?

Wanasema kwa akili sana
 
Tibeli, Waambie bintizo haipendezi mwanamke kuchunguliwa chunguliwa down there na watu tofauti tofauti. Uanawake unaendana na usafi.

Tunatamani iwe tit for tat, ila haina thamani kwetu sisi wanawake . Ila kama mtu hawezi
Kusamehe ni vizuri akalipa kisasi 😂🤭
 
Ndio hivyo sasa. Uki-cheat basi elewa mkeo naye anatakiwa akamuliwe
Doesnt go around like that man. We live experience may be that is y we dont talk or write too much.. tatizo ni kwamba vijana mkoo too theoretical..
Street ina namnza zake.

Wanaotombewa hata hawatombei wenzao. Na unakuta wanaotombea wenzao wao hata hawakamuliwi wake zao
 
Kuna kitu unakitafuta sema nini mwamba?

Wanasema kwa akili sana

Mkuu sipendi usaliti.
Uonevu.

Usione kwa nini wanaume tumecharuka hapa, hiyo ndiyo picha halisi ya jinsi wanaume wengi tulivyo. Ubinafsi, uonevu na usaliti.

Kwa wanaume waaminifu wangesema, haina shida kwa sababu wanajua hawawezi ku-cheat. Na kama wata-cheat basi wapewe haki yao kwa matendo yao.
 
Tibeli, Waambie bintizo haipendezi mwanamke kuchunguliwa chunguliwa down there na watu tofauti tofauti. Uanawake unaendana na usafi.

Tunatamani iwe tit for tat, ila haina thamani kwetu sisi wanawake . Ila kama mtu hawezi
Kusamehe ni vizuri akalipa kisasi 😂🤭

Wanawake wote wakiwa kama Watibeli hakuna mwanaume atakayecheat dunia ingalipo.
Kwa sababu wanaume sisi ndio tunaumia zaidi moyoni wake zetu waki-cheat.
Lakini tunawachukulia wanawake rahisi kwa sababu ya porojo kama hizo za usafi.

Huwezi kuwa msafi kwa wanaume wachafu. Labda ujidanganye
 
Hivyo ndivyo porojo zetu Wanaume tunazowaambia wanawake.
Ila kwa binti za Tibeli moto lazima uwake lazima hapo mwanamke ataitwa shetani kwani hiyo mwanaume atafurahia shoo.

Uki-cheat unajisikia raha. Mkeo aki-cheat unasema ati yeye ni Mpumbavu 😂😂
Na Mimi ukinichiti tu na nikijua Adhabu nitakayokupa ni kukuambia uchague nikufanyie kati ya yafuatayo na ukikataa nakuambia ubebe Virago vyako uondoke kabla sijakuchukulia Maamuzi mengine ya Kimedani na Kishalubela ( Kikatili )

1. Nipite njia yako ya Buza kwa Mpalange
2. Nikungoe Jino bila Ganzi
3. Ningoe Filimbi yako ya Kibaiolojia na Meno
4. Nikubandue kwa Hasira kuanzia Asubuhi hadi Kesho bila Mapumziko ya kuomba kunywa Maji
5. Nimlete Hawara yangu Chumbani kwetu na niwe Nambandua Mubashara huku Ukishuhudia
6. Unichagulie Rafiki yako wa Kike unayemuona ni Mrembo kukuzidi ili Nimbandue na Nizae nae
7. Nikupeleke Kijijini Kwetu ukalime Mihogo, Mtama, Ulezi, Uwele na Mahindi kwa muda wa Miezi Mitatu

Kudadadeki....!!
 
Tibeli, Waambie bintizo haipendezi mwanamke kuchunguliwa chunguliwa down there na watu tofauti tofauti. Uanawake unaendana na usafi.

Tunatamani iwe tit for tat, ila haina thamani kwetu sisi wanawake . Ila kama mtu hawezi
Kusamehe ni vizuri akalipa kisasi 😂🤭
Nitamuomba babu yetu aridhie tujenge sanamu lako juu ya geti letu ...sawa eee
 
Back
Top Bottom