Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Joel na muna wote wachawi.....haiwezekani mtoto anaumwa ye ampandishe jukwaani kumtolea ushuhuda si umbulula huo
Si kutaka kiki, kwanza tangu lini walokole wasioana wakaishi pamoja.

Yaan Peter aende mahakamani akamyooshe!!

dada wa Taifa huko keshasema mwili ulitangulia kabla Muna hajafika.
 
Kwani muna akimzika mwanae kuna ubaya gani? Huyo peter si aende kwa muna si ana famili yake jamani,mwana ni wa mama mnatukana muna upande wa pili mwaujua acheni u..
 
Kumbe ule msemo mana yake ilikuwa ni hivi huyu dada ajiangalie jamani tunaishi mara moja tu
Enzi za bifu na wema,wema alianzisha msemo kila mtu na mama ake ili kumkomoa muna ambae hapatani na mama ake.

Mtu akiokoka anasamehe wote ila aanze maisha mapya ya wokovu,sasa mwenzetu sijui kaokokaje huku bado ana ugomvi na mama ake Na ndugu zake
 
Na huko Nairobi inasemekana kulikuwa na show ya Joel hakuna cha hospital wala nn Joel anampandishaga hiyo mtoto kwenye majukwaa ili atoe ushuhuda kama yeye ndio kamponya na Peter alikataa mtoto wake kwenda huko
Daah!so saad!
Ila dogo alikua anaumwa kweli japo hapo walikua wamepanga wafanye show huko huko!

Haya maisha haya!
 

Kwan peter si alikuwa mae akiwa na mimba ama aje,casto mwenyewe kimyaa ahahahah kwani wakizika watapungukiwa nini
 
Halafu siku zote anapost pics za show yake ya nairobi bada ya mtoto kufa anapost post ya kujiliza kinafki
Mbona nasikia alikuwa bega kwa bega na mama mtoto kuuguza mtoto jamani mbona mnamuona muna mbaya wakati ndio ama wa mtoto,yaan wanaume wanapewa hadhi isiyo yao
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]hatari!wanaume,wanawakeeee....!!!jamani kaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…