Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kutesa kwa zamuUnaskiaga kutesa kwa zam Sasa ndyo huku
Sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kutesa kwa zamuUnaskiaga kutesa kwa zam Sasa ndyo huku
Sasa
Acha tu!looh!mjini kutamu nkasema sirudi sitimbiii![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yani tupo busy Hatari tunashindwa kubadili vijora vyetu
hehe watulie kwa sasaSepenga,zari,mobeto wote saa hii wako
Hoi wanawaza tu jinamiz gan lmepta mbele yao
Garama zote zlikua znatolewa na nanKawakomesha hao mbwa mtoto uishi nae mwenyewe halaf msiba usifanyike kwako ukafanyike kwingine,,
Mwenye haki ya mtoto ni mama bana maana alikuwa anaishi kahangaika nae kumuuguza
Waswahili mnagombania hadi maiti utafikiri inafufuka lo
Nandy akiulizwa hii kick unaionajehehe watulie kwa sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nandy akiulizwa hii kick unaionaje
Utaskia hii n cha mtoto ile
Yang ndo funika bez[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabsa yan Hawa singoSingo maza na maslay queen wasiojielewa naona wana hasira na Peter, bwana peter ana haki ya kudai kumzika mwanae,kamlea tokea anazaliwa hadi hapo alipo.
Nakazia.Singo maza na maslay queen wasiojielewa naona wana hasira na Peter, bwana peter ana haki ya kudai kumzika mwanae,kamlea tokea anazaliwa hadi hapo alipo.
Wewe chonga mdomo tu nikuitie @Da Jane kama hujaikimbia hii ID yako.Kawakomesha hao mbwa mtoto uishi nae mwenyewe halaf msiba usifanyike kwako ukafanyike kwingine,,
Mwenye haki ya mtoto ni mama bana maana alikuwa anaishi kahangaika nae kumuuguza
Waswahili mnagombania hadi maiti utafikiri inafufuka lo
Hiyo mimba alipewa na upepo wa mlima Kilimanjaro?Kawakomesha hao mbwa mtoto uishi nae mwenyewe halaf msiba usifanyike kwako ukafanyike kwingine,,
Mwenye haki ya mtoto ni mama bana maana alikuwa anaishi kahangaika nae kumuuguza
Waswahili mnagombania hadi maiti utafikiri inafufuka lo
Muna kanichosha nilivyo na mahasira ya haraka angekua ndugu yangu wangestukia namdunda!!Huu msiba tutaona mengi jamani wapumzishe tu mtoto hiki ndio cha muhimu
Naona haya mambo yakienda polisiHuu msiba tutaona mengi jamani wapumzishe tu mtoto hiki ndio cha muhimu
Mmmh aiseee
Huyu mama Sabrina unaeza kuta ndo muna mwenyew ...........mana yule bi Dada kafiwa ila comment za waja anasoma na kujibu pia.......Garama zote zlikua znatolewa na nan
Kuanzia shule,matumiz,mpaka anaumwa
Na bili ya hospital??
Majukumu yote atoe baba mtoto alaf
Leo ufokefoke kuwa msiba upo kwako
Na ww ndo uatapanga pa,kumzka
Mtoto !!
Hayo maji mnayoyafulia chupi
Na kuyapkia chai walahi mtawanywesha
Wajinga wajinga tu
Wacha tukazane tu hamna namna.Nakazia.