FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kosa kubwa ni kuolewa akiwa na ujauzito wa mwanaume mwingine, kamkatili sana peter.Kila msiba una sababu, Mungu ni mwema sana mpaka kaamua kumsitiri huyu mtoto kabla hata umri wake haujafika mbali.
Hebu chukulia huyu ni mama yako mzazi umefikia umri mkubwa unamsikia anafanya mambo kama haya huoni utatamani dunia itoboke uzame kabisa?
Kwanini uliolewa ukijua una ujauzito wa mtu mwingine , wangapi wameolewa baada ya kuzaa na heshima zao zimebaki na kama uliamua kufanya hivyo kwanini leo hii uliseme?
MALAYA TU WA MJINI HAWA HAWANA JIPYA ZAIDI YA KUTAFUTA KICKMuigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume ambaye hivi karibuni ilisemekana kuwa ndiye baba wa mtoto wake Marehemu Patrick.
“Nilikutana na Peter jijini Mbeya tukiwa tunafanya kazi Safari Pool Table, tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi miwili tukaingia kwenye ndoa, lakini kuna vitu nilivyokutana navyo kwenye ndoa hiyo nikaamua kuachika.
“Wakati naingia kwenye mahusiano na Peter nilikuwa nina mimba ya Casto ya miezi miwili, Casto aliikana mimba hiyo. Baadaye alirudi wakati mtoto Patrick akiwa na miaka mitatu. Kwa sababu nilizaa nikiwa kwenye ndoa na Peter ndiye alisimamia hata ubatizo ndizo picha zilizosabaa, lakini hata yeye Peter anaujua ukweli kuhusu mtoto huyo.
“Tulifanya taratubu na Casto za kubadilisha jina la mtoto pale RITA lakini kuna ugumu uliotokea, lakini tulikuwa tunaendelea kufuatilia,” amesema Muna.
Huu ni ukichaa Mara ulikaa na Peter kwa miezi miwili mkafunga ndoa alafu happy hapo wakati unaolewa ulikuwa na mimba ya casto ya miezi miwili,kwahiyo wakati unamahusiano na Peter hiyo miezi miwili huku unatiwa mimba na casto utamwaminisha vipi mtanzania mwenye uelewa mdogo Kama Mimi kwamba hiyo sio sinema ulikuwa unacheza??Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam na kuweka wazi jinsi ambavyo alikutana na Peter Zakaria Komu, mwanaume ambaye hivi karibuni ilisemekana kuwa ndiye baba wa mtoto wake Marehemu Patrick.
“Nilikutana na Peter jijini Mbeya tukiwa tunafanya kazi Safari Pool Table, tulikaa kwenye mahusiano kwa miezi miwili tukaingia kwenye ndoa, lakini kuna vitu nilivyokutana navyo kwenye ndoa hiyo nikaamua kuachika.
“Wakati naingia kwenye mahusiano na Peter nilikuwa nina mimba ya Casto ya miezi miwili, Casto aliikana mimba hiyo. Baadaye alirudi wakati mtoto Patrick akiwa na miaka mitatu. Kwa sababu nilizaa nikiwa kwenye ndoa na Peter ndiye alisimamia hata ubatizo ndizo picha zilizosabaa, lakini hata yeye Peter anaujua ukweli kuhusu mtoto huyo.
“Tulifanya taratubu na Casto za kubadilisha jina la mtoto pale RITA lakini kuna ugumu uliotokea, lakini tulikuwa tunaendelea kufuatilia,” amesema Muna.
Ndoa ipi??mnh,kuna kitu kinaitwa assertive tactics in impression management..
msimcheke muna, labda na nyie mngekua kama yeye,mngefanya the same...
desperate need to repair image ambayo imekua tarnished,
pole Muna,mie nakuelewa unachofanya,
ila ,
iwe mwisho kuwasiliana na waandishi,
unamwaga petrol kwenye moto tayari…
wataendelea kukusema tu..
wanadamu wabaya..
watavunja ndoa yako for real
Atakuaje na amani wakati pesa ya matibabu yote katoa peter,achene kuupepea umalayasafi Muna na hongera kwa kuutua mzigo Patric atakuwa na amani huko aliko
Ndoa ipi??
sema mwanamke malaya alafu akili ndogo,kuna wanawake wanajielewa mkuuKuishi na mwanamke yataka moyo
Kwa mlokole ni uchumba.kwani kashahachika kote?