Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Kimya kina maana pia
Kweli unajidhalilisha zaidi pale unapotaka kuonewa huruma kwa uchafu uliofanya. Unaolewa na bwana mwengine ukiwa na mimba ya miezi 2 ya mwanaume mwingine. Huyo dada hana hata chembe ya aibu sijui ndugu zake wanajisikiaje wanvyosikia habari kama hizi.
 
Hivi viingereza vyenu....
 
Wadau Muna ni Binadamu si malaika,yeyote hasio na dhambi awe wa kwanza kumtupia MUNA mawe,Tumpe faraja kwa maneno mazuri,bado hajakaa sawa,amepitia mitihani mikubwa sana,tumpe moyo tusimdhihaki,kama binaadamu yeyote ana mapungufu yake lakini isiwe kigezo cha kuzidi kumtia machungu.

Ndio amepitia stage za kidunia huko nyuma ila kwa sasa ,she is born again(Kaokoka),tumpe support katika kipindi hiki kigumu,hata haya anayoongea bado akili haijakaa sawa,anahitaji faraja asahau machungu,tunapozidi kumtupia mawe tunamuongezea machungu.

Mwache atoe ya moyoni ili awe free,huenda kuna vitu vilikuwa vinamyong'onyeza labda baada ya kutoa ya moyoni kwake ni relief,tusimbeze,hata angefanya press baada ya 40,tungesema hata mwaka haujapita? Kwa yeye wiki mbili ameona sawa kutoa ya moyoni.

Ni Hayo tu.
 
Peter alisema Patrick kututoka ni dhahiri ilikusudiwa iwe hivyo na ni mpango wa Mungu naona tu namna kwenye hii familia kulivyo na mkanganyiko kumbe walienda mpaka rita kubadili jina
 
uyo mtoto wamwache apumzike kwa amani imetosha sasa
 
Aisee nilifikiri baada ya kumpumzisha mwanae ndio ingekuwa mwisho wa sarakasi. Kuna watu na viatu
Kesho tulikuwa tuende kumpa pole majirani hata siendi tena.hana adabu yule
Yule peter nae alichelewa kuoa ,kumuona huyo binti ndani ya mwezi ndoa wala hakumchangisha mtu.alikuwa na hela balaa.
 
Muna ana matatizo sana, selfish woman and still anasema ameokoka hana utu, yani Muna ni mtu aw ajabu sana, kwanini wanawake wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri,yani wanatabia ya kuyumba sana hawana misimamo yani mara mtoto wa peter mara mtoto wa casto mara peter nilikutana nae wakati sijaokoka i dont get it foolish mara sijui nini na nini ilihali peter ndiye alikua anampa mtoto matunzo, sasa kama mtoto wa casto kwanini wakati mtoto akiumwa unampigia simu peter kumsaidia mtoto yani women are real something
 
Kesho tulikuwa tuende kumpa pole majirani hata siendi tena.hana adabu yule
Yule peter nae alichelewa kuoa ,kumuona huyo binti ndani ya mwezi ndoa wala hakumchangisha mtu.alikuwa na hela balaa.
Hahahaha nenda tu kampe pole utapatamo dakika za kumwelewa zaidi
 
Hahahaha nenda tu kampe pole utapatamo dakika za kumwelewa zaidi
Aibu tupu ,hata watu wakiniona natoka huko naonekana akili sina.
Ameongea ili iweje eti.hivi peter akimshtaki kwa fraud atamlaumu nani maana alikuwa anatumia hadi bima ya kazini kwake huku Rita anabadili jina
 
Kifo cha mtoto kinapogeuka matangazo ya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…