Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

Huyu dada ni mjinga wa ajabu sana, hakupaswa kuwa na mtoto maana hajielewi, kashaongea vile sasa itamsaidiaje?
 
Kwahiyo Peter ni baba mlezi na Casto ni baba mzazi, basi sawa haina shida, ila kisheria ni mtoto wa Peter, kibaiolojia ni wa Casto; case closed.
Hahaaaa daahh mpaka nimecheka usiku huu
 
Du! Wadada akili zenu mnazijua wenyewe.
Sasa haya yote ya nn.!! Mtoto kashatangulia na huyo baba mlezi kaonyesha kuguswa na msiba na kashiriki vema. Haya mengine ya mimba yanatusaidia nn jmn.
Jinga hili [emoji35]
 
binadam kwa kunyooshea vidole mabaya ya wenzetu hatujambo...

kuna wengine wamefanya makubwa zaidi ya hayo...

Las las only God and him alone has the final say in this...
Kila mtu anafanya makosa. Mengine ni ya aibu sana tunajijua. Binafsi sijudge makosa ya Muna..ninachoshangaa ni ujasiri wake wa kuyaanika mambo yake yooote kwa umma wa watanzania utadhani sisi ni ndugu zake.
Walimwengu hatuna dogo..si kila mtu ataona yupo sahihi.
Angekaa kimya ingempunguzia nini? Anao ndugu na watu wa karibu..angewaeleza hao ingetosha kabisa. Tatizo lake umaarufu unamsumbua..yaani anatumia matatizo yake kujipatia umaarufu ambao haumsaidii chochote ila kupostiwa na kuzungumziwa instagram.
Nina wasiwasi na ulokole wake pia..mlokole halisi asingefanya alichofanya leo.
 
Kila mtu ana matatizo na shida zake..ila hili la kuongea maisha yao binafsi tena hata mwezi haujakata tangu ampuzishe kijana, ni kiwango cha juu cha "umagharibi" na maisha ya tamthilia...sina hakika kama yuko sawa "upstairs"!

Anyway...aongee tu hayo hayatuhusu...
 
binadam kwa kunyooshea vidole mabaya ya wenzetu hatujambo...

kuna wengine wamefanya makubwa zaidi ya hayo...

Las las only God and him alone has the final say in this...
Inawezekana kweli..lakini waliamua kumlilia muumba wao na sio kuita waandishi wa habari.
Huyu ni chizi fresh
 
He took you and your unborn child in when no one else did.

He gave you and your child his last name. Provided for the child until The Angel of Death took him to heaven.

.... I am at a loss for words. 🙁🙁
 
hasira za nini kaka,kwani Peter hakuwa akijua Muna ana mimba ya mtu mwingine akampeleka kanisani!
 
Atakuaje na amani wakati pesa ya matibabu yote katoa peter,achene kuupepea umalaya
msiamini kila linalotamkwa kwenye mdomo wa kiumbe kinachoitwa binaadam hususan kama ana ajenda,alete risiti hapa sio blabla.
 
Naona huyu mwanamke anavyowakilisha akili za Wanawake wengi....
 
Inamaana bado ana mume basi mume jinga
 
wakati binaadamu wengine akili zetu zina toka kwenye ubongo"" I bet " huyo sijui so called muna "" akili zake " zitakuwa zinatoka kwenye kinyesi ""...kichwa chake kina kinyesi kabisaaa sio bure
 
Kuoa mke ni kazi kubwa mno kwa kuwa ukikosea tu unajuta maisha yako yote. Hivyo ni kumuomba sana Mungu ila naye uwe umetulia ili usijekutana na makahaba wa aina ya Muna Love. Huyu siyo mke wa kuoa kabisa kwa kuwa kwanza nidhamu hana, mdomo hauna break na aibu hata nukta hana kwa kuwa hata mwili wa malaika Patrick bado haujaoza. Dada mpe mwanao japo Siku arobaini tu ndipo uendeleze league zako na. hao bwana zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…