Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Ila mulimpenda sana.. watanzania wengi.. maandishi mitandaoni.. mioyo upendo mwingi.. ila tuhuma bado hamuziachi.. kwaweza kufungua kesi mupate ukweli mutulie kwa amani..

Hivi kwabanini munamkumbuka sana sana sana.. munasutwa kwa roho.. maandishi garasha..

Tuendelee kuombea na uzima tuone na tekinologia mpya na mengi yajayo.. Tuwaombee Marehemu wote waendelee kupumzika kwa Amani.. wengi hawapo hapa kujitetea.. tusonge.. kama hamusongi.. mukafungue kesi..

Kazi iendeleee
 
Umetuwekea andiko hapo juu linalozungumzia msamaha, ajabu wewe na wenzio mmeshindwa kumsamehe Magufuli mpaka mnamuita shetani, kwa ujinga wenu hamjui andiko lingine linalosema; "usihukumu ili nawe usije kuhukumiwa"

Nyie kila siku nawaona mmeamua kubebana kama kondoo, mnaolishana upupu na bahati mbaya asiwepo yeyote miongoni mwenu wa kumuamsha mwenzie, wajinga nyie mnajiona "malaika" mbele za Mungu mlioruhusiwa kuhukumu wengine lakini nyie hamtahukumiwa!.

Sijui ni lini mtaamka, kwa maana huu usingizi mzito mliolala, hakika hamna tofauti na mtu aliye kwenye koma amelazwa hospitalini, ndugu zake wakimtazama kwa huzuni hata wasijue ni lini mwenzao atarudiwa na fahamu zake.
 


Kwani kulikuwa Kuna mtu anaitwa "JIWE" (Stone)???😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…