Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Sometimes is better to be realistic than sadistic.

Tupe takwimu wananchi wangapi wanaangamia Kwa kukosa maji safi na salama?
Biashara ngapi zinafungwa kwa kukosa umeme wa uhakika?
Familia ngapi zinalala njaa Kwa kupanda bei ya nafaka na mafuta ya kupikia?

Achana na ya kale tuishi ya sasa.
Mmeona Kwa Magufuli ndio pango lenu la kujifichia.

Tokeni hadharani mtuambie mmelifanyia nini Taifa?
Sio kila siku kumsakama marehemu, Kwa sasa hiyo sio kazi yenu bali ni kazi ya Mwenyezi Mungu.

Watanzania tuache Unafiki.
 
hakuna binadamu ambaye ataishi milele, kia mtu atakufa kwa wakati wake. Hata huyo uliyempost atakufa. Hoja yako haina mashiko
 
Au nasema uongo ndugu zangu? 😂😂
 
Ingekua vyema kama hayo maandishi yako yange ambatana na ushahidi wa uliyo andika, tofauti na hapo hayana maana yoyote,

na kama unafikiri alikua muovu basi hata walioko kwenye madaraka sasa hivi na wao Wana husika kwa sababu walifanya kazi pamoja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…