Mungu aliamua Magufuli afe ili Tanzania ipone

Huyo shoga alikuwa anawashwa washwa
 
Imepona?
 
Katika dini yetu Mwenyezi anasema halimfiki mja bila Mungu kupanga, kifo chake ni fundisho katika maisha yetu hapa Duniani. Kuna waliomuona na mwema na kuna waliomuona katili ni fundisho kwetu tuliobaki.
 
Ndio maana Mungu kaamua kumnyonga yeye ili asiendelee kuwanyonga watu wasio na hatia. Kwa comment yako unakili yule shetani alikuwa muuaji
 
Ni Kweli hayo yote uoiyoyasema Ni Kweli mtupu ila magu alikuwa rais haswa pmj na unyama mwingi aliyokuwa nayo Bado still watanzani wengi watamkunbuka kwa mazuri yake
 
Watanzania bado tuna umasikini wa akili.

Kwa hali hii hatutafika mbali. Miaka kumi ijayo bado tutakuwa tunalalamika umeme unakatwa hovyo mara hakuna maji etc etc.
Tuna safari ndefu mno.
 
Sidhani kama uko sahihi.
Hapa wanaosemwa ni walio hai indirectly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…