Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
Makofiiiii,unatumia kinywaj gan mkuuHakuna alipomfanya mtu wala kumuumba…!!
Yeye aliyeumba, yeye naye aliumbwa na nani?? Tupe chanzo chake..!!
Mbona ivyo Tena mkuu 😂 😂Too much quetioning too much confusion wewe elewa hivo hivo kama hutaki basi
Tupe tafsiri yako kwanza ya kufanya na kuumba ndio tuendeleeMungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
Umeenda mbali sana mkuu!Naona mmeanza matusi.
Sasa anamfanyaje mtu?
Utachomwa moto wewe.
Alimuumba,Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26
Ubinadamu ni nini?Mwili ulifanywa lakini ubinadamu wetu ndio uliumbwa. Sisi ni mchanganyiko wa manufacturing na creation.
Boss unasali? Umewahi toa sadaka ama zaka??Kwanza Huyo Mungu HAYUPO.
Pili, Binadamu hawaumbwi.
Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hata wewe wala hukuumbwa na huyo Mungu.
Mama yako aliingia LEBA kukuzaa.
Hakuna aliyeumbwa. Kila mtu alizaliwa.
Hakuna Mungu.
Upande wa kwanza ni kuwa na biological status na upande wa pili ni kuwa na uwezo wa kujitambua, kuwa na utambuzi na kuwa na roho.Ubinadamu ni nini?
Huyo mama wa kwanza kabisa duniani, kabla teknolojia ya leba haijaanza, alitoka wapi? Alizaliwa na nani?Kwanza Huyo Mungu HAYUPO.
Pili, Binadamu hawaumbwi.
Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Hata wewe wala hukuumbwa na huyo Mungu.
Mama yako aliingia LEBA kukuzaa.
Hakuna aliyeumbwa. Kila mtu alizaliwa.
Hakuna Mungu.
Huyo Mungu na yeye alitoka wapi?Huyo mama wa kwanza kabisa duniani, kabla teknolojia ya leba haijaanza, alitoka wapi? Alizaliwa na nani?