Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26

Mungu alimfanya mtu? au alimuumba mtu? Embu fafanua (mwanzo 1;26

Huyo Mungu na yeye alitoka wapi?

Huyo Mungu kabla ya kuumba kitu chochote kile alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Na kuliumbwa na nani?
Kanuni ya mjadala, unatakiwa kujibu swali kabla haujauliza swali.

Au huna majibu ya maswali yangu? Naweza kukuelewa pia.
 
Kanuni ya mjadala, unatakiwa kujibu swali kabla haujauliza swali.
Huwezi kunipangia namna ya kujibu swali.

Na pia unaweza kujibu swali kwa kuuliza swali.

Una elewa?
Au huna majibu ya maswali yangu? Naweza kukuelewa pia.
Hata wewe huna majibu ya maswali yangu.

Ndio maana ume reply back kwa kuuliza tena swali.

Umetumia kanuni ileile ya kujibu swali kwa kuuliza swali.
 
Huwezi kunipangia namna ya kujibu swali.

Na pia unaweza kujibu swali kwa kuuliza swali.

Una elewa?

Hata wewe huna majibu ya maswali yangu.

Ndio maana ume reply back kwa kuuliza tena swali.

Umetumia kanuni ileile ya kujibu swali kwa kuuliza swali.
Huna hoja.
 
Upande wa kwanza ni kuwa na biological status na upande wa pili ni kuwa na uwezo wa kujitambua, kuwa na utambuzi na kuwa na roho.
Upande wa biology tunafanana DNA na sokwe kwa 98%. Roho pia ni dhana tu au unaweza kusema viumbe vyote vyenye uhai vina roho.
 
Upande wa biology tunafanana DNA na sokwe kwa 98%. Roho pia ni dhana tu au unaweza kusema viumbe vyote vyenye uhai vina roho.
Uongo mtupu, kama tofauti ni ndogo kiasi hicho elezea kwanini sokwe hawajawahi kuanzisha hata jukwaa la kuchati kama hili letu?
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Huwa nashangazwa sana na watu wa humu, unadai swali la kitoto lakini haujalijibu.

Kama huna akili ya kujibu hilo swali, kaa kwa kutulia, humu ndani kila swali huwa lina maana yake, punguza mihemko.
Siwez jibu swal la kitoto.
 
Back
Top Bottom