Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alitupa sie watenda dhambi tuitumie kusafisha maovu yetu tumtii yeye! Biblia mbona simple tu we soma tafsiri kivyako ukipata jibu sepa
Ni za Mungu kwa sababu aliwapaDuh . Umekisoma ulichokiandika lakini ?
Mungu aliwapa watenda dhambi sadaka ? Mbona kanisani hatupewi sadaka wanasema sadaka zote ni za Mungu ?
Ukishachoka mambo ya Imani usitafute gia ya maswali ya kimwili achana nayo tu uwe mpagani mnapenda kubishana vitu vya kuamini visivyothibitishwa kwa niia mnazotaka ukifikia hatua hii hupati jibu lolote usiwe kama fala mambo ya Imani waachie waliojitoa ufahamu KirangaHabari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
umeelewa alichouliza mtoa mada?Kutoka 20:8-11...Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako. Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Ili akuokoe wewe mdhambi alikua kua anakuoneaha the way anavo kupenda, kujali na kuthamini.Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Hata wapagani wana imani zao, usinichanganye na wapagani.Ukishachoka mambo ya Imani usitafute gia ya maswali ya kimwili achana nayo tu uwe mpagani mnapenda kubishana vitu vya kuamini visivyothibitishwa kwa niia mnazotaka ukifikia hatua hii hupati jibu lolote usiwe kama fala mambo ya Imani waachie waliojitoa ufahamu Kiranga
Kabla ya kumjibu nilikua nampa shule kidogo hivyo basi nishamjibi kwenyewe comment yangu hapo juuumeelewa alichouliza mtoa mada?
Una dini?Hata wapagani wana imani zao, usinichanganye na wapagani.
Jielimishe.
Sina dini, point yako nini?Una dini?
Sasa si hauna diniSina dini, point yako nini?
Nikiwa sina dini maana yake nini?Sasa si hauna dini