stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
🤣 🤣Majibu utayopata hapa ni "Biblia huwezi kuielewa kama huna upako na roho mtakatifu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣Majibu utayopata hapa ni "Biblia huwezi kuielewa kama huna upako na roho mtakatifu"
Nimeandika soma hapo juu! Mungu kama mkulima aliyepanda mbegu njema kwa ajili yake mwenyewe!Why anatuchoma moto tusipo muabudu na hatukumuomba atuumbe
Huko kwenu sio kweyuHata wewe mbona unajinyenyekeza kwa Mme wako, wakati yeye kama mwanaume anatambua jukumu lake kwako
Unaifahamu sadaka ya kuteketezwa? Kasome walawi 23:33 ndio utajua ugumu wa sadaka hii ukiwa una dhambi unaweza pangiwa kumtoa hata mwanao ila kwasasa hatuhitaji hiyo sadaka sababu tayari Mungu wetu kwa huruma zake akaamua kumtoa mwanaye mpendwa kwaajili ya dhambi hayo mambo huko nyuma yalifanyika badala mbadala wa YesuHabari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Waliofeli form four utawajua tuHabari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Sadaka aliyo toa ni mwili wa binadamu (mwana wa adamu) kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe.....sasa hapo kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe ili iweje ni somo lenye akili kubwa sana...Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Alitupa sie watenda dhambi tuitumie kusafisha maovu yetu tumtii yeye! Biblia mbona simple tu we soma tafsiri kivyako ukipata jibu unaloona limekufaa sepa
Duh . Umekisoma ulichokiandika lakini ?
Mungu aliwapa watenda dhambi sadaka ? Mbona kanisani hatupewi sadaka wanasema sadaka zote ni za Mungu ?
Hii mada huwezi kupata majibu aisee
Ngoja wafia dini waje wakupopoe na kitu ambacho nao hawana ushahidi nacho zaidi yakusoma Kwenye vitabu ...
Tafadhali usilale 😅
Mkatoliki wangu njoo unipee elimu hapa Mdakuzi
Na kwanini Mungu amtoe mwanae afe kwa ajili yetu badala ya kumuua Shetani himself chanzo cha dhambi?
Ni mstari gani kwenye Biblia unaosema Mungu alitoa sadaka?
Sadaka inayotolewa na Binadamu ni ya Mungu na sadaka inayotolewa na Mungu ni ya Binadamu.
Mungu alimtoa mwanae wa pekee ili akafanyike mbegu ya ukombozi wa wanadamu!
Kiufupi Mungu alionesha fomula ya kwamba ili UVUNE lazima uwe utoe Mbegu!
Hata leo ili mkulima avune huwa ni lazima atoe mbegu yake iliyobora kwa ajili ya kuharibu shambani (anaitupa/anaizika ) Ili kwa punje moja ikalete punje nyingi!
Mungu alitoa msingi kwamba huwezi kuvuna pasipo kupanda!
Hivyo Mungu Alitoa Mali (sadaka) yake kama kafala ili ikafanyike kuwa mbegu kwa kuukomboa ulimwengu kwa kila AAAMINIYE! (hakusema kwa kila mtu hapana, bali kwa kila AAMINIYE)
Hivyo yule anaeutazama msalaba wa Yesu kwa Imani ya ukombozi Hupokea Uponyaji (elewa neno Aaminiye)
Hivyo Mungu ni mkulima wa kwanza kupanda mbegu kwa faida yake mwenyewe!
Ndiyo maana bibilia inasema Mungu husamehe kila roho inayotubu kwa Faida ya Mungu mwenyewe!
Alitoa sadaka ya Yesu kama mbegu bora kwa Faida yake Mwenyewe!
Shetani ni mungu wa dunia hii kwa wasio na Yesu,So alitolewa ili kuleta ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi.
So Yesu ni sadaka ya upatanisho baina ya Mungu na mwanadamu
Unaifahamu sadaka ya kuteketezwa? Kasome walawi 23:33 ndio utajua ugumu wa sadaka hii ukiwa una dhambi unaweza pangiwa kumtoa hata mwanao ila kwasasa hatuhitaji hiyo sadaka sababu tayari Mungu wetu kwa huruma zake akaamua kumtoa mwanaye mpendwa kwaajili ya dhambi hayo mambo huko nyuma yalifanyika badala mbadala wa Yesu
Soma wakolosai 28:7
Shetani alipotoroka mbinguni, aliondoka na ufunguo wa kuzimu, hivyo ufufuko wa wafu ulikua haiwezekani mpaka shetani anyang'anywe funguo. Ndio mana wale ambao Mungu aliwapenda Sana aliwachukua mbinguni moja kwa moja mfano Musa na Eliya na ndio maana hawa waliweza kumtokea Yesu mlimani.
Yesu alipokufa alienda kufanya vita kuzimu na kuchukua ufunguo wa kuzima, mwandishi mmoja alisema baada ya Yesu kufa watu waliokufa walianza kutoka makaburini, hiyo ni lugha ya alama kwamba Yesu ameshinda vita kuzimu.
Tumia akiliJombaaaa hii kitu ni complicated kabisa
Swali ni zuri lakin sioni majibu ya kueleweka hapa
Kwanini asingetamka kwamba ametusamehe na ikiashia halo?Alitupa sie watenda dhambi tuitumie kusafisha maovu yetu tumtii yeye! Biblia mbona simple tu we soma tafsiri kivyako ukipata jibu unaloona limekufaa sepa
Huyu yesu ni Mungu?Yesu ndiye Mungu apokeaye sadaka hiyo!
Ni Mungu yupi uliyemkusudia?Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Hawa ni vichaa Yesu kwenye bibilia zao anasema hakuna mtu atamuona Mungu akaishi, afu Yesu wangapi walimuona.
unataka kuyaelewa mambo ya rohoni kwa akili? kweli? hayaeleweki kirahisi hivyo!Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Watu wanaabudu miti, mawe, maji, wanyama kama miungu yao. Mungu aweza kujiweka katika form yoyote atakayo, akijiweka katika umbo la mwanadamu that’s the best for a god to be!