Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee, ikiwa yeye ndie Mungu Sadaka aliitoa kwa nani?

Kutoa Ni moyo ,

Kwaio sir God anao Moyo😳

Ezekieli 28 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Mwanadamu, mwambie mkuu wa Tiro, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa moyo wako umeinuka, nawe umesema, Mimi ni Mungu, nami nimeketi katika kiti cha Mungu, kati ya bahari; lakini u mwanadamu wala si Mungu, ujapokuwa umeweka moyo wako kama moyo wa Mungu.

⁶ basi, kwa hiyo, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa umeweka moyo wako kama moyo wa Mungu;
 
Kutoa Ni moyo ,

Kwaio sir God anao Moyo😳

Maombolezo 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³¹ Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtu Hata milele.
³² Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.
³³ Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha.
 
Ni mstari gani kwenye Biblia unaosema Mungu alitoa sadaka?
“Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;

— 1 Wakorintho 5:7 (Biblia Takatifu)
 
Unaifahamu sadaka ya kuteketezwa? Kasome walawi 23:33 ndio utajua ugumu wa sadaka hii ukiwa una dhambi unaweza pangiwa kumtoa hata mwanao ila kwasasa hatuhitaji hiyo sadaka sababu tayari Mungu wetu kwa huruma zake akaamua kumtoa mwanaye mpendwa kwaajili ya dhambi hayo mambo huko nyuma yalifanyika badala mbadala wa Yesu

Soma wakolosai 28:7
rekebisha hapo "Wakolosai" huwa haifiki huko 28
 
Kwanza Hebu weka huo mstari tuone kama unasema hivyo na unahitimishaje

Waebrania 9 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹³ Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili;
¹⁴ basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai?
¹⁵ Na kwa sababu hii ni mjumbe wa agano jipya, ili, mauti ikiisha kufanyika kwa kukomboa makosa yaliyokuwa chini ya agano la kwanza, hao walioitwa waipokee ahadi ya urithi wa milele.
 
MUNGU HUTUPA SADAKA TUMTOLEE YEYE MWENYEWE!
Mungu alimtoa Mwanawe kwetu kama Sadaka tumtolee Mungu mwenyewe!
(Yohana3:16)
Kwa kitendo cha sisi wanadamu kumuua Mwanae tulitoa Sadaka kwa ajili ya dhambi zetu.
Nyakati za Torati ili mtu asamehewe ilikuwa lazima achinje mnyama mf.kondoo ili asamehewe.
Ibrahimu alipoambiwa amtoe Isaka kama sadaka ya kuteketezwa,badala yake Mungu alimpa kondoo ili amtolee Mungu mwenyewe kama sadaka ya kuchinjwa.
(Mwanzo22:1-14)
 
Habari wadau

Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.

Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Sadaka ni nini mkuu??
 
unataka kuyaelewa mambo ya rohoni kwa akili? kweli? hayaeleweki kirahisi hivyo!

hatua ya kwanza kuyaelewa mambo ya rohoni ni kumpa Bwana Yesu maisha yako. kisha mengine hufuatia. yatafunuliwa kwako na Roho wa Mungu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
Mimi nakuliza swali moja tu we unaiamini bibilia, na unayamini maneno ya Yesu au Yesu yuko mdomoni tu sio kwenye moyo wako. Kama unamuamini Yesu basi alisha sema Yeye katumwa hivi unajua mana ya mtu akisema katumwa nini mana yake? Yani hana uwezo ndio mana katumwa na aliye mzidi.

Lingine Yesu alisha sema sikilizeni wana wa Israel Mungu wetu ni mmoja tu. Kwa hio bado unambisha Yesu. Pia Yesu alisema hakuna binadamu alimuona Mungu akaishi na hapo alipo ongea alikuwa na Wanyama au binadamu? Kwa hio wewe unataka kusema Yesu ni kichaa, muongo hajui anacho ongea.

Tukiwambia kupata akili ni majaliwa si kila Mtu ukimuona anaendesha Range Rover, au Royse Rose au Bugatti ana akili.

Kuna Wahindi wana Mali na ma PhD lakini wanakunywa mkojo wa ngo'mbe na wengine wanapigia mavi ya ngo'mbe mswaki 😄

Poleni sana endeleni kumkosoa Yesu alicho ongea, nyie mnajiona mna akili kuliko Yeye, au mnadhani Yesu kwa kuwa aliongea bada hajatambaa, mnadhani kuna wakati anaongea kama mtoto mchanga vile 😄
 
Mimi nakuliza swali moja tu we unaiamini bibilia, na unayamini maneno ya Yesu au Yesu yuko mdomoni tu sio kwenye moyo wako. Kama unamuamini Yesu basi alisha sema Yeye katumwa hivi unajua mana ya mtu akisema katumwa nini mana yake? Yani hana uwezo ndio mana katumwa na aliye mzidi.

Lingine Yesu alisha sema sikilizeni wana wa Israel Mungu wetu ni mmoja tu. Kwa hio bado unambisha Yesu. Pia Yesu alisema hakuna binadamu alimuona Mungu akaishi na gapo alipo ongea alikuwa na Wanyama au binadamu? Kwa hio wewe unataka kusema Yesu ni kichaa, muongo hajui anacho ongea.

Tukiwambia kupata akili ni majaliwa si kila Mtu ukimuona anaendesha Range Rover, au Royse Rose au Bugatti ana akili.

Kuna Wahindi wana Mali na ma PhD lakini wanakunywa mkojo wa ngo'mbe na wengine wanapigia mavi ya ngo'mbe mswaki 😄

Pole sana endelea kumkosoa Yesu alicho ongea, nyie mna akili kuliko Yeye au mnadhani Yesu kwa kuwa aliongea bada hajatambaa.mnadhani.kuna wakati anaongea kama mtito mchanga vile 😄
mbona unalalamika tena!!!
 
Watu wanaabudu miti, mawe, maji, wanyama kama miungu yao. Mungu aweza kujiweka katika form yoyote atakayo, akijiweka katika umbo la mwanadamu that’s the best for a god to be!
Mungu kwani kawa kama vile Energy, ambayo ina change from one form to another form 😄

We hivi unadhani Mungu nikitu au utamfananisha na mti, nyoka, binadamu, mawe, mnyama kweli wewe huna adabu kabisa.

Mungu habadiliki na hata badilika, ni huyo huyo ambaye amezitengeneza mbingu saba na ardhi saba. Afu umfanishe na ujinga huo. Omba Mungu akupe akili, ungemuliza Nabii Mussa alipo omba kumuona Mungu aliambiwa nini? Na ule mtihani alio ambiwa ashike glass huku kasimama akapitiwa usingizi, glass ikavunjika aliambiwa hivi: Mussa mimi nikisinzia second tu, dunia na mbingu zina crush afu nyie mnataka kumfananisha Mungu na vitu alivyo viumba 😄 Kweli akili Mali aisay.
 
Ukweli ni kwamba waislamu wapo chaka sana kuhusu ukweli wa mambo ya Mungu. Allah sio Mungu Mwenyezi kama wanavyofikiri huyu ni kiumbe wa Mungu Mwenyezi aliyeasi na kuja kwa watu kama Mungu. Watu hawa wapo kwenye uongo mkubwa mno na ni vigumu sana kuona ukweli huu.
 
Back
Top Bottom