Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
kwanini asiwe nao.Kutoa Ni moyo ,
Kwaio sir God anao Moyo😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini asiwe nao.Kutoa Ni moyo ,
Kwaio sir God anao Moyo😳
🤣🤣🤣🤣Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Kutoa Ni moyo ,
Kwaio sir God anao Moyo😳
Kutoa Ni moyo ,
Kwaio sir God anao Moyo😳
“Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;Ni mstari gani kwenye Biblia unaosema Mungu alitoa sadaka?
“Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo;Ni mstari gani kwenye Biblia unaosema Mungu alitoa sadaka?
rekebisha hapo "Wakolosai" huwa haifiki huko 28Unaifahamu sadaka ya kuteketezwa? Kasome walawi 23:33 ndio utajua ugumu wa sadaka hii ukiwa una dhambi unaweza pangiwa kumtoa hata mwanao ila kwasasa hatuhitaji hiyo sadaka sababu tayari Mungu wetu kwa huruma zake akaamua kumtoa mwanaye mpendwa kwaajili ya dhambi hayo mambo huko nyuma yalifanyika badala mbadala wa Yesu
Soma wakolosai 28:7
Kwanza Hebu weka huo mstari tuone kama unasema hivyo na unahitimishaje
Kwanza Hebu weka huo mstari tuone kama unasema hivyo na unahitimishaje
Hapa Mungu alipata FAIDA gani mkuu?Hivyo Mungu ni mkulima wa kwanza kupanda mbegu kwa faida yake mwenyewe!
Sadaka ni nini mkuu??Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
Jibu swali la msingi!kwani ajabu ni nini hapo ?
Mimi nakuliza swali moja tu we unaiamini bibilia, na unayamini maneno ya Yesu au Yesu yuko mdomoni tu sio kwenye moyo wako. Kama unamuamini Yesu basi alisha sema Yeye katumwa hivi unajua mana ya mtu akisema katumwa nini mana yake? Yani hana uwezo ndio mana katumwa na aliye mzidi.unataka kuyaelewa mambo ya rohoni kwa akili? kweli? hayaeleweki kirahisi hivyo!
hatua ya kwanza kuyaelewa mambo ya rohoni ni kumpa Bwana Yesu maisha yako. kisha mengine hufuatia. yatafunuliwa kwako na Roho wa Mungu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
halafu Mungu anatoa sadaka ili apate nini?😂😂😂😂😂Habari wadau
Mafundisho ya kanisani na hata biblia yanafundisha Mungu alimtoa sadaka mwanae wa pekee.
Je, Mungu alimpa nani hiyo sadaka ikiwa yeye ndie Mungu?
mbona unalalamika tena!!!Mimi nakuliza swali moja tu we unaiamini bibilia, na unayamini maneno ya Yesu au Yesu yuko mdomoni tu sio kwenye moyo wako. Kama unamuamini Yesu basi alisha sema Yeye katumwa hivi unajua mana ya mtu akisema katumwa nini mana yake? Yani hana uwezo ndio mana katumwa na aliye mzidi.
Lingine Yesu alisha sema sikilizeni wana wa Israel Mungu wetu ni mmoja tu. Kwa hio bado unambisha Yesu. Pia Yesu alisema hakuna binadamu alimuona Mungu akaishi na gapo alipo ongea alikuwa na Wanyama au binadamu? Kwa hio wewe unataka kusema Yesu ni kichaa, muongo hajui anacho ongea.
Tukiwambia kupata akili ni majaliwa si kila Mtu ukimuona anaendesha Range Rover, au Royse Rose au Bugatti ana akili.
Kuna Wahindi wana Mali na ma PhD lakini wanakunywa mkojo wa ngo'mbe na wengine wanapigia mavi ya ngo'mbe mswaki 😄
Pole sana endelea kumkosoa Yesu alicho ongea, nyie mna akili kuliko Yeye au mnadhani Yesu kwa kuwa aliongea bada hajatambaa.mnadhani.kuna wakati anaongea kama mtito mchanga vile 😄
Mungu ana moyo?Maombolezo 3
³³ Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu. Wala kuwahuzunisha.
Mungu kwani kawa kama vile Energy, ambayo ina change from one form to another form 😄Watu wanaabudu miti, mawe, maji, wanyama kama miungu yao. Mungu aweza kujiweka katika form yoyote atakayo, akijiweka katika umbo la mwanadamu that’s the best for a god to be!
Tuwache kulalamika mshikaji humu tunaongea na kondoo kabisambona unalalamika tena!!!
Ukweli ni kwamba waislamu wapo chaka sana kuhusu ukweli wa mambo ya Mungu. Allah sio Mungu Mwenyezi kama wanavyofikiri huyu ni kiumbe wa Mungu Mwenyezi aliyeasi na kuja kwa watu kama Mungu. Watu hawa wapo kwenye uongo mkubwa mno na ni vigumu sana kuona ukweli huu.Mungu kwani kawa kama vile Energy, ambayo ina change from one form to another form 😄
We hivi unadhani Mungu nikitu au utamfananisha na mti, nyoka, binadamu, mawe, mnyama kweli wewe huna adabu kabisa.
Mungu habadiliki na hata badilika, ni huyo huyo ambaye amezitengeneza mbingu saba na ardhi saba. Afu umfanishe na ujinga huo. Omba Mungu akupe akili, ungemuliza Nabii Mussa alipo omba kumuona Mungu aliambiwa nini? Na ule mtihani alio ambiwa ashike glass huku kasimama akapitiwa usingizi, glass ikavunjika aliambiwa hivi: Mussa mimi nikisinzia second tu, dunia na mbingu zina crush afu nyie mnataka kumfananisha Mungu na vitu alivyo viumba 😄 Kweli akili Mali aisay.