Mungu aliona wapi mfano wa ulimwengu ndiyo akauumba hivi?

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kujiongelea mwenyewe.
Unajiona uko smart sana kijana utakayebaki mifupa miaka 100 ijayo. Umeshiba na una nguvu ya kumchallenge MUNGU mwenyewe kabisa.

Unachokifanya kinadhihirisha ufinyu wa fikra na upeo hafifu kabisa wa mambo!

Ni heri ukaacha kushiriki mijadala kama hii ikiwa tu hata pa kuanzia huna ( yaani hujui ya kwamba MUNGU yupo). Unaanika ubutu halisi wa mawazo hasi yasiyopenda kujifunza.

Kama hujui kitu acha kukisemea kuliko kuja na deceptive comments kama hizi.
 
Hata wewe unaye mwamini huyo Mungu utabaki mifupa miaka 100 ijayo.

Kumwamini huyo Mungu sio kigezo kwamba hutakufa.
Unachokifanya kinadhihirisha ufinyu wa fikra na upeo hafifu kabisa wa mambo!
Ninyi mnoamini kitu kisichokuwepo ndio mna ufinyu wa fikra kabisa na mnahitaji tiba za kufuta hizo imani uchwara zilizopo vichwani mwenu.
Ni heri ukaacha kushiriki mijadala kama hii ikiwa tu hata pa kuanzia huna ( yaani hujui ya kwamba MUNGU yupo). Unaanika ubutu halisi wa mawazo hasi yasiyopenda kujifunza.
Huyo MUNGU hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Mnahangaika sana kumwelezea huyo MUNGU kwa vile Hayupo na hajawahi kuwepo kujidhihirisha mwenyewe.
Kama hujui kitu acha kukisemea kuliko kuja na deceptive comments kama hizi.
Hata ninyi hakuna mnachojua zaidi ya hizo imani zenu uchwara mlizo aminishwa na kupumbazwa .

Mnataka kuja hapa kufosi mawazo yenu uchwara yasiyo na uthibitisho wowote ule.
 
Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Nimejaribu kifikiria kwa kawaida nimegundua kuna vitu binadamu hatuko sahihi katika Imani zetu.

Mleta mada ameanza kwa kusema Mungu aliona wapi mfano au alitoa wapi ramani?

Kwangu mimi makosa ya mleta mada ni :-
1. kaiufunga mada yake kwa kuwa kabaki kwenye Imani ya Huyo Mungu na hivyo Mungu huwa HAELEZEKI

2. Kuhusu aliiga wapi au ramani alikoipata ni kukosa imani na Mungu wake kiasi cha kuhoji na kutoamini uwezo wa mungu wake na

Hitimisho:
kutuingiza na sisi kwenye mgogoro wao sio vema kabisa na huku wengine hatuna mgogoro na Mungu wetu tuna mwamini na kumuhemu na huku mawazo kama yake kwetu wengine ni Uasi na unajisi wa imani yetu
 
Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Stupid question /stupid thread.

Mungu ndiye mwanzo na ndiye mwisho , ukilielewa hili tu hutopata shida ya kuuliza maswali ya kipumbavu.
 
Utajibuje swali ilhali huyo Mungu anayesemwa yupo kiuhalisia hayupo?

Inabidi kwanza huyo Mungu anayedaiwa kwamba yupo, athibitishike kwanza yupo kisha ndiyo maswali mengine ya namna gani aliumba dunia yafuate.

Vinginevyo, Kama huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu huwezi kusema kwamba Mungu huyo ndio aliumba dunia.

Yani unarukia maswali ya mbele ilhali uwepo wa huyo Mungu ni imani tu zisizo na uthibitisho wowote ule!!
Na kila imani zao zile na dini yake inamungu wake wanapingana sana, wenyewe unakuta muislam anasema mkisto wa motoni, na wakristo nao wanasema, muislamu wa motoni, sasa akitokea mtu anahoji uwepo wa mungu, wanamshambulia kwa pamoja, unakufuru ww utaenda kuwa wa motoni, badala ya kwamba watoe jibu wanaishia kukutisha, alafu husema kuna mungu mmoja tu hapa ulimwenguni" lakini kila madhehebu, hayaelemani, yanadai wezake yuko kinyume na mungu.
 
SIkuwa na maana hiyo uliyo itafsiri wewe.

Biblia inasema "na tumfanye mtu kwa sura yetu na kwa mfano wetu, kwa mfano wa Mungu aliwaumba mwanamke na mwanamume"

Kuna uwezekano Mungu kutuumba binadamu hivi tunavyoonekana leo ni kwa sababu alijiangalia yeye akaona a-design kitu cha kufanana na yeye.

Sasa ulimwengu mzima na vingine aliona mahali labda ndiyo maana akaamua kuu-design hivi ulivyo leo.
Ni kwa imani ya biblia tu hiyo sio kwa wengine?
 
Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hap

Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Achana na spoon feeding za wazungu, dunia yetu hii haijaumbwa na huyo mungu, mungu mnayemwabufu na kumtolea fedha ni binadam kutoka sayari zingine, human existence ni project za watu kutoka sayari ya nibiru na huwa wanakuja kuangalia maendeleo yetu toka wametutengeneza hadi leondo sisi tunawaita alien, wana interaction na baadhi ya binadam, kasome vixuri area51 iliyo marekani. Hakuna kitu kinaitwa mungu, ni imani za kishenzi kuwahi kutokea. Matukio huwa yanajirudia mkuu, kwa sasa mnaona utitiri wa vimakanisa ama madhehebu, miaka 3000 mbele waliojiiita mungu wale wakenye watakuwa na wafuasi dunia nzima na kweli wataamini mungu aaka yesu alizaliwa kenya akaaishi na akapaa mbinguni, yesu pia alikuja kwa staili hiyo ndo maana ndugu zake wenyewe walimuua kwa sababu ya kukaidi sheria kali za wayahudi. Sisi ni wakristo ana tunamfuata yesu, ila nikuhakikishir yesu hakuwa mkristo alikuwa anasali dini za kiyahudi tungeamini dini za kiyahudi basi angalau, wayahudi wenyewe hawaamini katika yesu na ukimtaja unakula kifungo
 
Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Hebu jiulize, yule mtu wa kwanza kutengeneza gari alikuwa ameona wapi gari kabla ya hilo alilotengeneza?
 
Eti wakuu.

Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.

Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.

Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.

Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.

Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?

Naomba niishie hapo kwa leo.

NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Jibu ....hiyo ndiyo kazi ya akili ... wapumbavu wanasema elimu elimu elimu wengine tunasema akili akili akili
 
😁😁😁umenikumbusha kuna muislam speeakers corners aliingia kwenye mfumo wa swali lako hili akiwa anauliza Yesu alikuwa njia ya uumbaji wa kila kitu au alikuwa ndio asili ya kila kitu???

Akaambiwa Mungu alikuwepo kabla ya space na time,hakikuumbwa chochote isipokuwa Yesu kwanza,ili vingine vipate kuwepo,so kabla ya space na time Yesu alikuwepo😁,akabaki kaduwaa.

Ndani ya swali lako sasa,vitu vyote unavyovijua na usivyovijua asili yake ni Yeye mwenyewe,hakukuwepo na sehemu ya kuona wala kuiga kabla ya huo wakati na eneo kuwepo achia mbali chochote.
 
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Watu wengine sijui huwa mko na akili za namna gani, mleta mada kaweka wazi kabisa kuwa hii ni kwa wale wanaoamini tu. Ila limtu linakuja na kusema huyo Mungu hayupo, kwani umeitwa kuchangia kama huamini!!
 
Ila linaweza kuwa na majibu labda mkuu.

Kumbuka kauli hii ya kwenye biblia "na tumfanye mtu kwa mfano wetu na kwa sura yetu, kwa mfano wake Mungu aliwaumba mwanamke na mwanamke"

Hii huenda Mungu alijiangalia yeye alivyo ndiyo akatuumba sisi (wanadamu) kwa kujiangalia yeye kama mfano.

Je, kwenye universe aliangalia wapi akaona aumbe universe ikiwa na umbo hili.
Swali gumu lingekuwa source ya Mungu ni ipi?
 
Watu wengine sijui huwa mko na akili za namna gani, mleta mada kaweka wazi kabisa kuwa hii ni kwa wale wanaoamini tu. Ila limtu linakuja na kusema huyo Mungu hayupo, kwani umeitwa kuchangia kama huamini!!
Hapa ni Open forum kila mtu yupo huru kuchangia na kutoa maoni yake.

Hapa sio kanisani au msikitini, Huwezi kumpangia mtu namna gani ya kutoa maoni.

Kama maoni yangu yanakukera niblock usione comment zangu.

Vinginevyo Huna Mamlaka yeyote ya kunipangia namna gani nitoe maoni.
 
Back
Top Bottom