Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Unaposema kwa mfano wake unamaanisha nini? Una uhakika aliumba kioo?Kasema kaumbs mtu kwa mfano wake, sasa aliumba kioo kwanza akajitazama akawa anaigilizia au ilikuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema kwa mfano wake unamaanisha nini? Una uhakika aliumba kioo?Kasema kaumbs mtu kwa mfano wake, sasa aliumba kioo kwanza akajitazama akawa anaigilizia au ilikuwaje
Asnte umenijibia vyemaUnaposema MUNGU aliona wapi mfano wa dunia ndipo akaumba, hivi unamfananisha BWANA MUNGU na Mwanadamu?
Umekosa akili, umekosa adabu kwa MUUMBA wako kiasi unaona hawezi kufanya chochote mpaka kwanza awe ameona?
Na kama mpaka aone kwanza, unataka kusema yupo mwingine aliye mkuu kumzidi YEYE?
Kijana kuwa na adabu kwa MUUMBA wako. Usifikie hatua ya kumdharau MUNGU kuwa hawezi kutenda, hawezi kuumba mpaka awe ameona kwanza.
Unataka uthibitisho kwa kitu ambacho hakipo?Thibitisha haya maneno yako
Wewe mwenye hoja hiyo, ndio ututhibitishie kwamba hayupo, so thibitisha hilo. Je unaweza kuthibitisha?Unataka uthibitisho kwa kitu ambacho hakipo?
Mimi napinga madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu, Ninyi mnaodai huyo Mungu yupo ndio mnatakiwa mthibitishe madai yenu.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo na huyo Mungu mnayedai yupo, Hayupo.
Huyo Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.Wewe mwenye hoja hiyo, ndio ututhibitishie kwamba hayupo, so thibitisha hilo. Je unaweza kuthibitisha?
Bila shaka Post yako hii kwenye page #226 naichukulia ni uthibitisho wako ulioutoa.Huyo Mungu angekuwepo kweli Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.
Huyo Mungu hayupo ndio maana tunahoji uwepo wake.
Ninyi mnaodai huyo Mungu yupo, Hamuwezi na mmeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hayupo.
Ukibisha thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Mimi siamini kwenye kuamini.Bila shaka Post yako hii kwenye page #227 naichukulia ni uthibitisho wako ulioutoa.
Ili twende vizuri kwenye mjadala huu, nakuuliza swali, wewe unaamini katika Sayansi pekee na si uwepo wa Mungu?
Kama hauna imani ya aina yoyote na huamini katika kuamini, je unawezaje kusema hakuna uwepo wa Mungu?Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Napinga madai yako yanayosema kuna kitu kinaitwa Mungu.Kama hauna imani ya aina yoyote na huamini katika kuamini, je unawezaje kusema hakuna uwepo wa Mungu?
Ndio.Anyway, unafahamu kuhusu Sayansi?
Unafahamu kwamba unavyopinga madai hayo, ni kwamba una uhakika?, na Unafahamu kwamba kuwa na uhakika ni kuamini?Napinga madai yako yanayosema kuna kitu kinaitwa Mungu.
Ndio maana nasema kitu hicho kiitwacho Mungu, Hakipo.
Kama unaamini katika Sayansi, ni vizuri nimejua upo upande gani, na mimi pia naamini katika Sayansi hiyo hiyo ambayo imeumbwa na Mungu.Ndio
Uhakika sio suala la kuamini.Unafahamu kwamba unavyopinga madai hayo, ni kwamba una uhakika?, na Unafahamu kwamba kuwa na uhakika ni kuamini?
Sayansi haiaminiwi.Kama unaamini katika Sayansi, ni vizuri nimejua upo upande gani, na mimi pia naamini katika Sayansi hiyo hiyo ambayo imeumbwa na Mungu.
Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.Sasa tuendelee,
Je unaweza kunithibitishia kwamba hakuna uwepo wa Mungu kisayansi?
Msingi wa imani ni kuwa na uhakika, na uhakika ni kuamini.Uhakika sio suala la kuamini.
Uhakika ni suala la uhakiki.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uthibitisho
Haujui kwamba Sayansi ni uhakika/kuamini katika uchunguzi, utafiti, udadisi na uthibitisho?Sayansi haiaminiwi.
Sayansi si imani.
Sayansi ni uchunguzi, utafiti, udadisi na uthibitisho.
Hakuna Mungu aliyeumba sayansi.
Mungu ni Fictional character
Haya unayoyasema nithibitishie Kisayansi kwanza kama nilivyokuuliza? Usinijibu kinadharia kwa sababu wewe una uhakika na Sayansi. Thibitisha hakuna uwepo wa Mungu Kisayansi (uchunguzi, utafiti, udadisi na uthibitisho)?Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.
Huyo Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo