Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

Ngoja nikutoe ujinga.

Mungu hakuumba wanawake wawili, ni mmoja tu.

unachotakiwa kujua ni kwamba Katika mwanzo sura ya Kwanza Uumbaji aliofanya Mungu ni kuumba Roho peke yake, Kisha Sura ya Pili ndipo mwili ulifinyangwa.

soma biblia vizuri nakwa utulivu zaidi.
Adam ni wapi aliumbwa sura ww ndo unasoma between lines
 
Mwanamke wa kwanza kuumbwa na adam aliitwa lilith, alikuwa mbabe na asiye mheshimu adam, na alipenda starehe, akatoroka bustanini na kwenda kugawa kipochimanyoya kwa ibilisi wakazaa vitoto vi ibilisi na nusu. Ndo ikaonekana kuwa jamaa ni mkiwa ikabido afanyiwe mtu wa kufanana nayendo akatengenezewa eva
 
Back
Top Bottom