Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

Kwanini Mungu aingie hapo?
Vipi kama huo mfumo upo tu, ulijitokeza wenyewe?
 
Mkuu Mungu ni roho,na mungu yuko Kila mahali,na Wala mungu hayuko katika physical being bali yuko katika spiritual being,so everywhere Kuna Mungu
Spiritual being ni nini? Na ina sifa zipi?
 
Kwa tulipofika wameshatuweza tumesha haribia kiasi kwamba kurudi kwenye misingi yetu ya hasili ni ndoto.

Wamehakikisha their beliefs zimetuingia hadi kwenye nerve systems zetu asilimia 100%.
Kiufupi tuna sema shashooo...!
Hiyo ni hatari sana mkuu.
 
How do you know - kuna Mungu!!
 
Akhi Kosugi adriz hahah
 
Al-hamdulillah. Haya Yote Ni Sawa.
Ila Ukiangalia Na Kufikiria Kwa Umakini.
Na Kuzungumza Na Moyo wako Ukaituliza Nafsi.
Utawaelewa Vizuri Watu Hao.

Maana Hii Inafikirika.
Halafu Mungu Hajadiliwi
Kama Mjadala Biashara.
Yeye Alishaumba Na Miongozo Alishatoa.
Hivyo Mwenye Kufata Na Afate Mwenye Kuacha na Ache. Na Maswala ya Aridhi Ni Wachache Wenye Tamaa. Ndo walipelekea Mpaka Sasa Tunateseka.
Waliuza Mbachao Kwa Sahani ya mpunga Bila.
Kuangalia Madhara Yatakayo tokea Mbeleni.
Chamsingi Tuendelee Kusubiri Majibu Ya Allahu Sub-hanahu Wataallah.
Ameshatuahidi Hatatuacha Kamwe Kuna siku.
Atamleta mkombozi Halisi Tofahuti Na Hao.
Walioenda kinyume Na Yeye Na Kusababisha.
Makhalifa wake akuishi Mithiri Ya Wanyama.
Yaan Kupindukia Mipaka.
Inshaalla Bidhinllah
 
Ikiwa kweli unaamini Mungu alishatoa miongozo, na mkombozi atakuja kwa wakati wake, je, si unajidanganya kwa kutulia na kuzembea ukijificha nyuma ya ahadi zisizo na tarehe?

Je, hauoni kuwa uvivu wa wanaadamu na kutochukua hatua ndio uliowapa hawa madhalimu ujasiri wa kuuza ardhi zenu na kuwafanya waishi kama wanyama?

Nani atawajibika kwa upotevu huu, wale waliouza babu zetu au nyinyi mliokaa kimya mkimsubiri huyo mkombozi mlioahidiwa na watesaji wa babu zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…