Kwa jinsi alivyokemea yule mchungaji kachukulia kwamba ni dhambi kwa mwanamke kusimama pale mbele akiwa period bila kujali hali ya mhusika.Ni Kwa Staha yake,swala la period Huwa linaambatana na mambo mengi ikiwemo maumivu makali na huja ghafla
Hiyo inayokataza wanawake wasihudumu ni hii miungu watu sio Mungu mkuu!Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period. Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.
Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?
Huyo Mungu wa hyo hadithi ya uumbaji yuko frustrated.Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period.
Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.
Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?
Bro, biblia imekataza mwanamke kuhubiri kanisani na imetanabaisha ya kwamba ni mwanaume tu ndie anaeruhusiwa kuhubiri na ndo maana hujawah kumsikia nabii wa kike kwenye biblia, yani hata mwanamke kupanda tu pale madhabauni imekataza ila sijajua kwann makanisa yetu haya yameruhusuHiyo inayokataza wanawake wasihudumu ni hii miungu watu sio Mungu mkuu!
Biblia imekataza mwanamke kuhubiri.. yani inamtaka mwanamke atulie kimya.. Ni mwanaume tu ndie alieruhusiwa kuhubiri.. sijajua kwanini makanisa yetu yamekataa kutii maandiko ya bibliaHuyo mchungaji hajui biblia
Sio Roman Catholic lakiniBro, biblia imekataza mwanamke kuhubiri kanisani na imetanabaisha ya kwamba ni mwanaume tu ndie anaeruhusiwa kuhubiri na ndo maana hujawah kumsikia nabii wa kike kwenye biblia, yani hata mwanamke kupanda tu pale madhabauni imekataza ila sijajua kwann makanisa yetu haya yameruhusu
Mimi nazungumzia biblia 1 wakorintho 14:33-35.. swala wa dhehebu gan limeruhusu na lipi halijaruhusu hilo ni swala jingine na sijui ni kwa sababu gani wameruhusuSio Roman Catholic lakini
Ahaaaa hapo sawaMimi nazungumzia biblia 1 wakorintho 14:33-35.. swala wa dhehebu gan limeruhusu na lipi halijaruhusu hilo ni swala jingine na sijui ni kwa sababu gani wameruhusu