Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo, je inakuwaje tena amkataze kusimama madhabahuni akiwa period?

Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo, je inakuwaje tena amkataze kusimama madhabahuni akiwa period?

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period.

Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.

Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?
 
Majini ula hedhi kumbuka, mtu akiwa hedhi si msafi atakiwi hata kupika, sembuse madhabauni
 
Ni Kwa Staha yake,swala la period Huwa linaambatana na mambo mengi ikiwemo maumivu makali na huja ghafla
 
Ni Kwa Staha yake,swala la period Huwa linaambatana na mambo mengi ikiwemo maumivu makali na huja ghafla
Kwa jinsi alivyokemea yule mchungaji kachukulia kwamba ni dhambi kwa mwanamke kusimama pale mbele akiwa period bila kujali hali ya mhusika.
 
Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period. Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.

Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?
Hiyo inayokataza wanawake wasihudumu ni hii miungu watu sio Mungu mkuu!
 
Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period.

Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.

Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?
Huyo Mungu wa hyo hadithi ya uumbaji yuko frustrated.
 
Majibu ya kweli la swali lako, ungelipata toka kwenye Bibilia, hapa majibu mengi yatakua ya mtu anavyoona wala siyo Bibilia inavyosema.
Hata wakristo makanisa mengi misimamo yake inatofautiana, kuna makanisa mwanamke akivaa nguo fupi, mlangoni hupewa upande kanga ajisitili, kanisa lingi hilo siyo shida, hivyo mwongozo ni Bibilia.
 
Habari kubwa, inawezekaje mchungaji akamjua mwanakwaya au muumini ambaye yuko period? Sijawahi ona au kusikia kama kuna sehemu yoyote kwenye biblia inayokataza swala hilo.
 
Hiyo inayokataza wanawake wasihudumu ni hii miungu watu sio Mungu mkuu!
Bro, biblia imekataza mwanamke kuhubiri kanisani na imetanabaisha ya kwamba ni mwanaume tu ndie anaeruhusiwa kuhubiri na ndo maana hujawah kumsikia nabii wa kike kwenye biblia, yani hata mwanamke kupanda tu pale madhabauni imekataza ila sijajua kwann makanisa yetu haya yameruhusu
 
Attachments

  • F9438C43-905A-4AF0-A736-D5BA8FB211B8.jpeg
    F9438C43-905A-4AF0-A736-D5BA8FB211B8.jpeg
    97.6 KB · Views: 2
  • 799D3AB6-15DE-41A2-81AA-6BEB38DB5634.jpeg
    799D3AB6-15DE-41A2-81AA-6BEB38DB5634.jpeg
    97.9 KB · Views: 2
Huyo mchungaji hajui biblia
Biblia imekataza mwanamke kuhubiri.. yani inamtaka mwanamke atulie kimya.. Ni mwanaume tu ndie alieruhusiwa kuhubiri.. sijajua kwanini makanisa yetu yamekataa kutii maandiko ya biblia
 
Mkiambiwa mambo ya dini yana ukichaa ndani yake mnatoka mizizi ya shingo.
 
Bro, biblia imekataza mwanamke kuhubiri kanisani na imetanabaisha ya kwamba ni mwanaume tu ndie anaeruhusiwa kuhubiri na ndo maana hujawah kumsikia nabii wa kike kwenye biblia, yani hata mwanamke kupanda tu pale madhabauni imekataza ila sijajua kwann makanisa yetu haya yameruhusu
Sio Roman Catholic lakini
 
Back
Top Bottom