Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period.
Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia' . Hapo alikuwa akiwasema hasa waimba kwaya wanawake na wanawake wengine.
Sasa mimi najiuliza hivi kweli Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo halafu iwe nongwa Mungu kutukuzwa na mwanamke akiwa mbele ya kanisa kisa yuko period ?