Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
KaribuMimi pia...
Nawaza tu, hivi kahaba akiamua kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba hawezi kuokolewa?
Na wewe uliyekwenda kanisani umevaa mavazi ya heshima lakini ndani ya Roho ni kahaba aliyevaa ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa mwitu...
Na wewe ambaye umeenda kanisani ila hujaokoka Bado hujamshinda shetani na macho yako Bado yakiona kimini yanageuka, unatamaa...
Umewaza vizuri
Ila wewe unaonaje kwa mtazamo wako, ni sawa kahaba kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba? hata kama ikiwa kweli anataka kuokolewa.