Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

Mimi pia...

Nawaza tu, hivi kahaba akiamua kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba hawezi kuokolewa?

Na wewe uliyekwenda kanisani umevaa mavazi ya heshima lakini ndani ya Roho ni kahaba aliyevaa ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa mwitu...

Na wewe ambaye umeenda kanisani ila hujaokoka Bado hujamshinda shetani na macho yako Bado yakiona kimini yanageuka, unatamaa...
Karibu

Umewaza vizuri

Ila wewe unaonaje kwa mtazamo wako, ni sawa kahaba kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba? hata kama ikiwa kweli anataka kuokolewa.
 
Sisi tunaona mapaja na vifua hatuoni roho. So mdada jistiri
 
Maandiko haya ambayo yamekataza wanaume kuchonga nywele na ndevu ?

Mbona wachungaji karibu wote wanachonga ? ni kwasababu yalipitwa na wakati

Mimi Nimekuelewa mleta mada. Sana.

Ni kweli mstari uliochorwa enzi zile wa kuvalishana Khanga kwa kubanwa na gauni na suruali ulitakiwa kubaki pale pale na kiasi kukolezwa kila inapowezekana.

Ni Unafiki kuruhusu mengine na mengine kuyakataza wakati yote yapo kundi moja la Haramu.

Ila vuta subra mleta mada, kama hayo yalikatazwa na sasa yanafanyika na kuitwa ‘classy & smart’, hata haya ya sasa yanayokatazwa yape muda yataruhusiwa.
 
Shehe gani anatembea vie8 au Corora!! Ukiacha na mufti .Sisi hatuna mbambamba nyingi ukila Hela ya waumini utaitapika mapema tu.

Jifunze kusema Ukweli unapokua kwenye hadhara, hata Kama Ukweli huo unauma.
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    Screenshot_20231003-230402.png
    52.5 KB · Views: 2
Kwenda nusu uchi kanisani haitakubalika, zama za kutembea nusu uchi zimepitwa na wakati. Kama hao wanaotaka uhuru wa kuwa nusu uchi waanzishe masinagogi yao na mungu wao awafurahie huko. Mungu huangalia pia mavazi na si moyo pekee. Roho haiwezi kuwa safi kama mwili ni mchafu. Mwili ni hekalu la roho, hivyo ni vema uvalishwe vizuri, na kama mtu ataliharibu hekalu hilo naye ataharibiwa vibaya. Maadili ya kiroho yalindwe
 
umeiona picha ya kwenye post ya kwanza ?
 
View attachment 2771668

Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.

Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.

Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.

Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
  • sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
  • Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Wewe umejuaje kwamba Mungu haangalii mavazi!?

Nkikwambia kwamba Mungu ni wewe mwenyewe na mawazo yako utaweza kubatilisha!?
 
View attachment 2771668

Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.

Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.

Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.

Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
  • sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
  • Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Mwili ni hekalu la Mungu, usitiriwe!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kanisa lipi hilo? Mbona mpaka ushoga ni rukhsa makanisani?
 
Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.

Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
Yesu alikula nguruwe? Hata shetani sijamuona akila nguruwe.
 
Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.

Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
Shetani anakusumbua sio bure, ipo siku utafikiria kila mwanafunzi avae nguo yake ya nyumbani na sio uniform.
 
Waliowaletea makanisa wenyewe wanaingia uchi wa mnyama sasa hivi makanisani,nyie mnangoja nini kuingia uchi?:

1696990724371.png
 
View attachment 2771668

Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.

Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.

Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.

Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
  • sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
  • Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Ninyi nyote ni wa shetani.

Nyumba ya ibada ni mahali patakatifu. Pamefanywa kwa mfano wa mshsli Musa alipoona kijiti kinawaka moto lakini hakikuteketea. Mahali ambspo Musa hakupaswa kusogea na viatu.

Ni amri ya Mungu, sambamba na wanawake kuficha nywele zao wanaposogea mahali patakatifu.

Ukisema leo huyo mwenye kipedo na huyo mwenye taiti tupu waingie hivyo kanisani, ni kukiuka amri ya Mungu.

Binafsi siamini uwepo wa Mungu, lakini naheshimu sana imani na ibada za watu. Na ninazingatia uvaaji wa heshima ndani na nje ya nyumba za ibada.

Hapa ndipo huwa nasema UISLAM ni dini yenye kushawishi sana.
Uvaaji kuanzia wanawake hadi wanaume umezingatia staha wakati wote, achilia mbali mapungufu ya mmojammoja huko mitaani.

Uislam na maadili yake viigwe. Wakristo mnakoelekea kimavazi mnapoteza maana ya ukristo wenu, mmevaa kama malaya wanaojiuza hadi kanisani. Ni aibi sana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2771668

Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.

Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.

Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.

Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
  • sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
  • Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.

Hakuna mtu anakatazwa ingia kanisan
 
Back
Top Bottom