KaribuMimi pia...
Nawaza tu, hivi kahaba akiamua kwenda kanisani na mavazi yake ya kikahaba hawezi kuokolewa?
Na wewe uliyekwenda kanisani umevaa mavazi ya heshima lakini ndani ya Roho ni kahaba aliyevaa ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa mwitu...
Na wewe ambaye umeenda kanisani ila hujaokoka Bado hujamshinda shetani na macho yako Bado yakiona kimini yanageuka, unatamaa...
Maandiko haya ambayo yamekataza wanaume kuchonga nywele na ndevu ?
Mbona wachungaji karibu wote wanachonga ? ni kwasababu yalipitwa na wakati
Tunajiamulia sisi wenyewe kama tunavyoamua wanyama gani tule na tusile, hapo zamani kitimoto kilikatazwa ila leo tuna uhuru wa kulaSisi tunaona mapaja na vifua hatuoni roho. So mdada jistiri
Shehe gani anatembea vie8 au Corora!! Ukiacha na mufti .Sisi hatuna mbambamba nyingi ukila Hela ya waumini utaitapika mapema tu.
umeiona picha ya kwenye post ya kwanza ?Kwenda nusu uchi kanisani haitakubalika, zama za kutembea nusu uchi zimepitwa na wakati. Kama hao wanaotaka uhuru wa kuwa nusu uchi waanzishe masinagogi yao na mungu wao awafurahie huko. Mungu huangalia pia mavazi na si moyo pekee. Roho haiwezi kuwa safi kama mwili ni mchafu. Mwili ni hekalu la roho, hivyo ni vema uvalishwe vizuri, na kama mtu ataliharibu hekalu hilo naye ataharibiwa vibaya. Maadili ya kiroho yalindwe
Wewe umejuaje kwamba Mungu haangalii mavazi!?View attachment 2771668
Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.
Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.
Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Mwili ni hekalu la Mungu, usitiriwe!View attachment 2771668

Wewe ni mkristu? Biblia unaijua?Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.
Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
Kanisa lipi hilo? Mbona mpaka ushoga ni rukhsa makanisani?View attachment 2771668
Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.
Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.
Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
Yesu alikula nguruwe? Hata shetani sijamuona akila nguruwe.Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.
Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
Shetani anakusumbua sio bure, ipo siku utafikiria kila mwanafunzi avae nguo yake ya nyumbani na sio uniform.Agano la kale lilipitwa na wakati, tupo agano jipya, tunakula hata kitimoto kilizokatazwa kwenye sheria za agano la kale.
Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie
Kumbukumbu la Torati 22:5Ni wapi wameandika mavazi ?
Ninyi nyote ni wa shetani.View attachment 2771668
Hapo zamani nilishuhudia kwa macho yangu makanisa yalikuwa na tabia za ajabu kuwavisha kanga wanawake waliokuja wamevaa sketi zilizobana kwa mbali, waliovaa suruali hata ziwe pana walifukuzwa kabisa kurudi nyumbani.
Tunashukuru kadri muda umeenda makanisa yamejitambua, Leo hii wanawake wanaruhusiwa hata kuvaa suruali, gauni zinazowachoresha ili wapendeze, gauni zenye uwazi wa kupitisha hewa vifuani na mgongoni, n.k.
Kero kubwa ipo kwa makanisa kujitungia sheria za kukataza vimini na vipensi, huu ni ubaguzi !! Wadada wavae wanavyotaka, makanisa yasiingilie.
Sheria za agano la kale zilishapitwa na wakati,
-sheria za aina ya mavazi na makatazo ya kuchonga nywele zilishapitwa na wakati leo hii karibu kila mkristo anachonga nywele
- sheria za vyakula zilishapitwa na wakati kuna uhuru wa kula kitimoto.
- Sheria za kukataza kusuka nywele zilishapitwa na wakati leo hii makanisani ruksa kuvaa mawigi, kusuka rasta, weaving, n.k.
View attachment 2771668