Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

Mungu anaangalia roho sio mavazi, Makanisa muwaachie dada zetu kuwa huru kuvaa wanavyotaka, hata vipensi ni mavazi, tunachoangalia ni roho

Sofa ya uvaaji mzuri ni moja chukulia umeitwa na Raisi Ikulu.je.utavaaje?

Mungu ni Raisi wa Maraisi.

Kutotambua ukuu wake.ndio.maana mtu huvaa hovyohovyo akienda kusali

Eneo la ibada nineneo la waheshimiwa kama ilivyo.bungeni nk

Mungu anatakiwa kuheshimiwa kuanzia uvaaji.mtu anapoenda kumwabudu
 
Waende kwenye makanisa ya kishetani, huko issue sio mavazi tu Hata wakiwa uchi kabisa na kuzagamuana wanarusiwa.
 
Back
Top Bottom