Mr George Francis
JF-Expert Member
- Jun 27, 2022
- 278
- 512
MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE.
Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu.
Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu.
Kama ilivyoelezwa katika Biblia
1 Wakorintho 12 : 4-12
"Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule.
Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule.
Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule;
Mwingine imani katika Roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja;
Na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha;
Lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye."
Hii inamaanisha kwamba,
Mwingine anapewa neema ya kuimba, mwingine ya kuponya.
Mwingine ya kufundisha, mwingine kufanya biashara.
Yani huyu anapewa hiki na yule anapewa kile.
Sio kwamba Mungu anampenda mmoja kuliko mwingine bali anatupenda sote sawa.
whatsapp.com
Lakini anataka kila mmoja wetu atumie talanta yake maalum ili kumtukuza Yeye na kuwabariki wengine.
Kwa hiyo usioonee wivu talanta ya mwenzako. Usiweke chuko kwenye kazi wala kipato cha mtu mwingine.
Kila mtu ana kitu chake alichobarikiwa nacho na Mungu. Usijilinganishe na watu wengine.
Badala yake, uliza Mungu: “Baba, unanipa nini kwa namna yako?” Na atakujibu polepole, wakati wake kamili.
Lakini leo, shukuru tu kwa kile Mungu alichokupa tayari.
Kama ni afya, familia, akili, au pumzi tu. Mshukuru Mungu kuna wengine hawajapata hata hivyo.
Yeye hajawahi mnyima mtu yeyote wote wema na wenye dhambi.
MUNGU anampa kila mtu kwa namna yake. Si kwa namna tuitakayo sisi.
Mungu akubariki sana, na akufanye uone baraka zako sasa na kutimia kwa mahitaji yote ambayo umekuwa ukimuomba kila siku. 💙
#No_learnig_No_earning
So We Have To Learn.
Content By George Francis
#mrgeorgefrancis #highlight #motivation #viral

𝐅𝐈𝐊𝐑𝐀 𝐙𝐀𝐍𝐆𝐔, 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔
Channel • 159 followers • 𝐅𝐈𝐊𝐑𝐀 𝐙𝐀𝐍𝐆𝐔, 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐔 ✨ 📖 Education | Skills | Personal Growth | Simplifying complex ideas | New post every day. Let's get smarter together 🧠 Admin: 📞 0713736006.