Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!

Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk

Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!
 
Duuh kwa uislamu sadaka ya mia mbili shkh anunue gari kweli...!!

Na zaka inaenda kwa wahusika....
ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi wao
 
Kwenye uislamu hakuna wajinga wa kukupa hela ukanunue gari ndio maana matapeli huwa wanaigiza kubadili dini na kujiita manabii wa upako kwenda kupiga hela za bure.
huoni ni aibu sheikh wenu ni kapuku huku nyie waumini wake mna ukwasi? Acheni uchoyo, boresheni maisha ya mashekh wenu nao waishi maisha bora ya utoshelezi
 
Kwenye uislamu hakuna wajinga wa kukupa hela ukanunue gari ndio maana matapeli huwa wanaigiza kubadili dini na kujiita manabii wa upako kwenda kupiga hela za bure.

Kwenye Uislam sadaka za mia mbili mia mbili utapata kweli kununua gari? Sadaka zinatolewa sema ni ndogo sana kutokana na uchumi wenyewe kuwa wa kuchuchumia.. hili mbona linafahamika na masheikh wangi hulalamika.
 
ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi wao
Shida sio ubahili.....ndo dini inavyofundisha msikiti si sehemu ya kupatia rizki au sehemu ya kufuja mali.

Kama mtume alikuwa anashinda na njaa....leo shkh unapata wapi ujasiri wa kula pesa ya mutu msikitini
 
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!!!!

Kwenye Kichwa cha Uzi umeuliza swali.
Alaf kwenye Kujenga hoja ukajijibu. 😊😊😊.

Kabla sijakujibu kwa ninavyoelewa mm maana ya Sadaka.

Je ww una muamini Mungu?.
Na kama unamuamini , ni lipi unaweza ukafanya kuonyesha uaminifu na Shukran kwake?.
 
Kwenye Uislam sadaka za mia mbili mia mbili utapata kweli kununua gari? Sadaka zinatolewa sema ni ndogo sana kutokana na uchumi wenyewe kuwa wa kuchuchumia.. hili mbona linafahamika na masheikh wangi hulalamika.
Ndio maana nikasema usitegemee kupata hela nyingi za kununua gari au kujengea nyumba.
Na ukisema waislamu wote kapuku ni uongo asilimia kubwa ya mabilionea wanaomiliki viwanda Afrika Mashariki na Kati ni waislamu
 
Siyo wote. Mabilionea wengi ni wale tunaowajua kwa biashara zao. Na hao wengi ni Waislamu. Wapo Makafir matajiri bilioneas ila hawajulikani na hawataki julikana. Kisha tabaka la uchumi chini wengi ni Waislam. Maeneo mengi ha wanaosali ni ya kipato cha chini na kati. Matajiri wa Kiislam aanatoa sana sadaka. Lakini waumini wengi ni maskini wa kutupwa.
 
Hapana mkuu utajiri huwa haujifichi.
Hata ukisema haujitangazi bado kuna machawa lazima watakusifia na watu watajua kuwa una hela.
Wewe unataka kusema kwamba wakina Mo wanafahamika kwa vile wanatuuzia ngano na vinywaji ila sio kigezo.
Kuna matajiri kama wakina Lugumi hawatuuzii vyakula na ni maarufu,bado GSM na wengineo.
Na ukisema tabaka la chini wengi ni waislamu sijui ulipimaje maana mitaani tumechanganyika tu tunaishi kwenye nyumba moja,mtaa mmoja hakuna alama kuwa mtaa huu ni wa wakristo au waislamu
 
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!

Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk

Ukristo na iiislam kwa hakika ni laana kwa mtu mweusi!
Mungu hana Dini wala KITABU wanachokiita kitakatifu.
 
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk
Ni Dini gani uliwahi kuona Mungu akipewa hizo Pesa? Lini Mungu alipewa Pesa?

Wanaopokea hizo Pesa, ndio huwa wanazitumia.

Unawalipa kwa kuacha kazi zao nyingine na kuja kukufundisha neno la Mungu, na sio unamlipa Mungu.

Sadaka yako ukitaka wasile wachungaji, ipeleke panapostahili. But at the end pesa ni lazima iliwe hapahapa Duniani, inategemea tu ni nani unataka ale Sadaka yako.
 
ndio maana masheikh wana njaa kali sana na umasikini umewatamalaki, waumini wao si watoaji na hawajui kuwategemeza viongozi wao wa dini. Waumini wao ni bahili, hawajali viongozi wao
Unakosea unaposema 'mabahili', sadaka ni kile akitoacho mtu kwa ridhaa na atoapo asitoe kwa ushindani, kulazimishwa ama kuathiri maisha yake kubaki na dhiki.

Hivi nikuulize: katika makanisa ulishawahi kuambiwa sadaka au zaka ni michango ya kutunza watumishi wa Mungu kama siyo kwa ajili ya kumtolea Mungu?

Watu wanatoa wakilenga pesa zao kupokelewa na M/Mungu moja kwa moja.

Ndiyo naana unakuta hata mafisadi na majizi saazingine wakitoa mamilioni kutaka kuipoza ghadhabu ya Mungu na kuomba rehema ya upendekeo maalumu kwa kumtolea dau nono.
 
Back
Top Bottom